Kwanini hivi leo usalama wataifa wanajulikana hovyo na si kama enzi za Nyerere

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
430
310
Kipindi kile cha Nyerere kuwatambua usalama wa taifa ilikuwa ni kazi ngumu sana...ilifika point hata ukimwona kichaa kama mazingira flani inakulepekea kuhisi ni usalama wa Taifa...

ungeweza kukuta mtu ni camera man kumbe ni usalama wa taifa...mpaka baadhi ya vichaa tulidhani wengine wako undercover lakini ni usalama wa taifa...

Piya hatukusikia matukio yoyote yaliyofanywa na wao...japo naamini yalikuwepo ila yalitekelezwa kwa usiri mkubwa.

Ila kwa sasa du!! usalama wa taifa si kificho tena.... Utakuta baa tena wakishagonga vyombo ni maneno ya kujisifu kwenda mbele... Mbona,mchuzi vyote wanamwaga tu...bila kujali nafasi zao...

Je! Ni maadili ya kazi kushuka au ..
 
Enzi zile Taasisi ilikuwa moto wa kuotea mbali...

Hata sasa pia, ila inaonekana changamoto ulimwenguni zinazidi hivyo wameshindwa kuenenda na Kasi
 
Maarifa Yameongezeka Sana Utandawazi Kwa Sasa Mambo Mubashara Tu Enzi Za Nyerere Radio Yenyewe Tunakusanyika Kwa Mwenyekiti Kusikiliza Taarifa Ya Habari Au Hotuba Za Mwalimu
 
utofauti wa maendeleo ya kiteknolojia ndio chanzo cha mabadiliko unayo yaona wewe
 
Ukishasema usalama wa Taifa hii ni habari nyingine, kujua ikawa kwa hawa watu labda kuwe na ulazima wa kufanya hivyo, hawa jamaa ni smart sana...
 
Back
Top Bottom