W /Afya:Upigaji NHIF kupitia vipimo MRI, TSCAN, ECHO ;Hospital binafsi,dini na umma Kuifirisi NHIF

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,299
2,000
Utafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali zinalalamika ulipwaji wa kusuasua.

UPIGAJI UNAVYOFANYIKA:

Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.

Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Hivi vipimo umekuwa ni mzigo mkubwa sana kwa NHIF upande wa Bill.

USHAURI

1.Ni wakati wa NHIF kuingia MOU na hospitali kubwa kwa kuzinunulia MRI, X-RAY, ECHO katika win to wina situatio NHIF ichangie 80% ya gharama hospitali zichangie 20% ziwe chini ya uangalizi na matengenezo chini ya hospitali. Gharama iwe 50% NHIF na 50% Zinabaki hopitalini

2.Kuwa na kitengo RADIOLOGY- Dealing with X-rays and other high-energy radiation, especially the use of such radiation for the diagnosis and treatment of disease. kubwa ambayo itakuwa chini ya NHIF.Kama ilivyo JAKAYA KIKWETE HEART INSTITUTE. MRI - 10, ECHO-10; X-RAY-10 N.K
upload_2017-6-20_11-15-47.jpeg
upload_2017-6-20_11-16-40.jpeg
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
9,218
2,000
Aisee?!! Mfuko ulikuwa unakuja vizuri sana huu. Sasa kwa haya yanayoanza kujitokeza yasipotafutiwa ufumbuzi twafwa.
 
Chipukizi

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
2,896
2,000
Soon this will be history!Wizara ya Afya inakuja na zaidi ya ulichoshauri hapa. Lets hope for good
 
TRUVADA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,520
2,000
Wafaidikaji wa fuko la NHIF 70% ni tàasis binafs
Regency
Agakan
Mbeya hosp
Kcmc
Almc arusha
.....
....
30 ndo tunabaki kwenye goverment facility
Lakin hao hapo juu wapo tayari hata kuhonga ili mradi tu walipwe hata kama mgonjwa hakutibiwa kwao
 
Sirm

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
462
250
Nauliza hivi utaratibu wa kutibiwa ukoje siku hizi maana nimeenda kituo fulani cha afya na mke wng wakakataa kumtibia hadi nimkatie bima yake
 
R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,299
2,000
Nauliza hivi utaratibu wa kutibiwa ukoje siku hizi maana nimeenda kituo fulani cha afya na mke wng wakakataa kumtibia hadi nimkatie bima yake
ULIENDA DIRISHA LA BIMA: KUNA MADIRISHA MAWILI
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,933
1,500
Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.
... NHIF hawakagui madai yanayowasilishwa kwao? Maana kama kipimo hakiko justified kinatakiwa kukataliwa kwenye malipo ya madai.

... MRI haitoi mionzi kama X-Ray. Pamoja na kwamba X-Ray ni nafuu zaidi, ina madhara makubwa kwa afya.

Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.
... Matumizi ni makubwa kwa kuwa nazo zipo nyingi sikuhizi ukilinganisha na miaka ya nyuma. Halafu, maendeleo na ufahamu katika sekta ya afya umechangia pia.
 
Swala si JUSTIFIED mtu anapigwa MRI makusudi ili wapate 10% ; INGAWA UGOJWA USINGEITAJI
anayehumia ni mgojwa akipigwa anapewa risti Dr na hospitali wanadai chao
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,933
1,500
Wafaidikaji wa fuko la NHIF 70% ni tàasis binafs
Regency
Agakan
Mbeya hosp
Kcmc
Almc arusha
.....
....
30 ndo tunabaki kwenye goverment facility
Lakin hao hapo juu wapo tayari hata kuhonga ili mradi tu walipwe hata kama mgonjwa hakutibiwa kwao
... Hii inatokana na facilities na huduma wanazotoa.

... Kama wanalipwa kwa huduma ambayo hawakutoa, basi kuna watu NHIF hawafanyi kazi yao sawa sawa.
 
DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,933
1,500
Swala si JUSTIFIED mtu anapigwa MRI makusudi ili wapate 10% ; INGAWA UGOJWA USINGEITAJI
anayehumia ni mgojwa
akipigwa anapewa risti Dr na hospitali wanadai chao
... Katika hali ya kawaida, kwa hiki unachokisema, NHIF hawatakiwi kulipa. Kama ugonjwa hauhitaji hicho kipimo, sioni namna NHIF wanavyolipa hilo dai.

... Halafu, MRI inamuumiza vipi mgonjwa?
 
R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,299
2,000
... Katika hali ya kawaida, kwa hiki unachokisema, NHIF hawatakiwi kulipa. Kama ugonjwa hauhitaji hicho kipimo, sioni namna NHIF wanavyolipa hilo dai.

... Halafu, MRI inamuumiza vipi mgonjwa?
mionzi
 
wise-comedian

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
3,260
2,000
Utafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali zinalalamika ulipwaji wa kusuasua.

UPIGAJI UNAVYOFANYIKA:

Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.

Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Hivi vipimo umekuwa ni mzigo mkubwa sana kwa NHIF upande wa Bill.

USHAURI

1.Ni wakati wa NHIF kuingia MOU na hospitali kubwa kwa kuzinunulia MRI, X-RAY, ECHO katika win to wina situatio NHIF ichangie 80% ya gharama hospitali zichangie 20% ziwe chini ya uangalizi na matengenezo chini ya hospitali. Gharama iwe 50% NHIF na 50% Zinabaki hopitalini

2.Kuwa na kitengo RADIOLOGY- Dealing with X-rays and other high-energy radiation, especially the use of such radiation for the diagnosis and treatment of disease. kubwa ambayo itakuwa chini ya NHIF.Kama ilivyo JAKAYA KIKWETE HEART INSTITUTE. MRI - 10, ECHO-10; X-RAY-10 N.K
View attachment 527431 View attachment 527432
MRI haina mionzi
 
R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,299
2,000
MRI haina mionzi
A magnetic resonance imaging (MRI) scan is a common procedure used by hospitals around the world. MRI uses a strong magnetic field and radio waves to create detailed images of the organs and tissues within the body.
 
marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,496
2,000
Acheni uzushi mambo kama hamyajui muwe mnatulia muulize, sasa mtu unasema hospital kama mbeya au kcmc ndio wafaidikaje ivi unajua wanahudumia population gani? Ushawahi ona fomu ya NHIF inavojazwa? Unafahamu kipimo cha CT peke ake ni mtu gani anatoa ruhusa ya kukifanya? Au unafikiri kinafanywa fanywa tu? Tena dunia ya leo wenzetu hawatibu bila investigations! Ungejiuliza wale watoto waliopelekwa marekani walifanya vipimo gani basi ungeelewa! Kutibu mgonjwa bila kufanya vipimo huna Tofauti na mpiga ramli cha msingi serikali iongeze wataalamu wakuoperate hivi vitu pamoja na vifaa ili gharama ziwe chini lakini sishauri eti mgonjwa anafanyiwa unnecessary investigations big NO. MRI yenyewe kcmc wala mbeya hawana! CT scan zenyewe ni zile old fashioned yani basi tu hii bongo na hapo unalipa 250,000/= na hata ivo wanajitahidi sana kuwapunguzia gharama kwa sababu ukifata guidelines za disease management and how to investigate patients mtasema hospital zimekuwa sehemu za anasa lakini ndio dunia inakwenda huko, mfumo wetu wa afya bado ni changamoto sana na tatizo ni
 
Hamisi mzalendo

Senior Member
Jun 15, 2017
108
250
Utafiti mdogo uliofanyika , unaonyesha NHIF inaweza angukia pua wakati wowote kutokana na kudaiwa gharama kubwa za vipimo na hospitali binafsi , dini na serikali. Mpaka sasa baadhi ya hospitali zinalalamika ulipwaji wa kusuasua.

UPIGAJI UNAVYOFANYIKA:

Madaktari wengi ata kama umevunjika mkono wanakuambia upige MRI badala ya X -RAY ikizingatiwa gharama yake ni kubwa na wanapata 10% ingawa mtu anayepigwa miozi ya MRI hajui madhara yake.

Vile vile ukiangalia matumizi ya MRI , ECHO na TSCAN yamekuwa makubwa sana. ikilinganishwa na miaka ya nyuma.

Hivi vipimo umekuwa ni mzigo mkubwa sana kwa NHIF upande wa Bill.

USHAURI

1.Ni wakati wa NHIF kuingia MOU na hospitali kubwa kwa kuzinunulia MRI, X-RAY, ECHO katika win to wina situatio NHIF ichangie 80% ya gharama hospitali zichangie 20% ziwe chini ya uangalizi na matengenezo chini ya hospitali. Gharama iwe 50% NHIF na 50% Zinabaki hopitalini

2.Kuwa na kitengo RADIOLOGY- Dealing with X-rays and other high-energy radiation, especially the use of such radiation for the diagnosis and treatment of disease. kubwa ambayo itakuwa chini ya NHIF.Kama ilivyo JAKAYA KIKWETE HEART INSTITUTE. MRI - 10, ECHO-10; X-RAY-10 N.K
View attachment 527431 View attachment 527432
Naungana na ww
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom