Mchawi wa mahusiano yako ni wewe mwenyewe

jay v

Member
Jun 11, 2017
36
125
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema kwa kutufanikisha kuiona tena siku ya leo,pili niwashukuru wana JF wote ambao wamekuwa wakichangia mada mbali mbali ili kurekebishana kwa manna moja ama nyingine.

Kwanza kabisa niwape pole wale wote mliokwenye ndoa lakini ndoa inaonekana chungu na unatamani MUNGU akutue mzigo ulonao,niukweli kabisa na usiopingika mahusiano mengi yamekuwa yakivunjika ndani ya muda mfupi na sababu za msingi ziko wazi kabisa lakini watu wengi wamekuwa kama hawaelewi.

1.KUISHI KWA MAZOEA
Wadada wengi hii inawahusu,enzi hizo mko kwenye uchumba ulikuwa unapulizia pafyumu,lipshine mdomoni haikauki na upigaji wa mswaki baada ya kula lakini leo imekuwa vice versa,hakuna mwanaume anaependa kulala na mwanamke ananuka mdomo,ananuka kwapa,na ambaye ana mvuto muda wote,hupaswi kumtafuta mchawi hapa wakati mchawi ni wewe,unakuta mwanamke yuko radhi apendeze akiwa kwa mchepuko kuliko kupendeza akiwa kwa mumewe,yupo radhi kumpa mchepuko mahaba niue kwa mumewe akalala Kama gogo,kumbuka hapo kabla ulikuwa unambinulia huyo mchumba wako kabla hajawa mumeo kiuno na miguu unarusha juuu mpaka kwenye dari.but nowadays hivyo vitu mmeo anavikosa na wewe unaona kawaida tu,unakuta mwanamke yupo na Mme wake chumbani yupo na mikanga mpaka kichwani,utabaki kusema umerogwa kumbe mchawi ni wewe,

2.KU-KWICHI KWICHI KWA MAZOEA

Hii inawahusu wanaume wengi,unakuta mwanaume kabla hajamuoa huyo mchumba wake yaani anapiga kikwelikweli but nowadays anapiga kana kwamba anamuonea huruma mkewe,unadhani huyo mkeo akikutana na mchepuko na wakimgegeda vizuri unadhani utabaki salama?,Mahala ambapo wanaume wengi tunafeli ni kuhusu tendo la ndoa kwani tumekuwa c wabunifu na tunafanya kimazoea na kwasababu ni mkeo unashindwa kumbinua kwa kumwonea huruma,zamani ulikuwa unaramba na kunyonya..........,lakini cku hizi mkeo anavisikia tu kwa majirani,zamani ulikuwa unambeba na kumfanyia massage chumbani lakini sikuhizi anavisikia tu kwa majirani,zamani bafuni mnaenda wote na mabusu motomoto lakini siku hizi anasikia tu kwa majirani,zamani kila muda unamsifia kwa kupendeza lakini sikuhizi umekuwa shujaa kwa kuwasifia wa wanaume wenzio.BADILIKA BRAZA
 

Mitchell

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
381
225
Kuna stori nilisimuliwa ss sijui kweli au ilikuwa chai eti kuna jamaa alienda kufumania kufika eneo la tukio kuchungulia akakuta mkewe kakunjwa kama tairi jamaa akasema hapana huyo hawezi kuwa mke wangu, kumbe yy ndo anamhurumia ila mchepuko unamkunja balaa .. baada ya kusoma hii ndo nikakumbuka.. uko sahihi sana mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom