Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Poll Poll
Alfajiri ya kesho, Jumatano tarehe 21 Juni, baada ya saa kumi na nusu utaweza kuona mkutano wa sayari ya Zuhura, inayowaka vikali sana kama nyota ya asubuhi, pamoja na hilali ya Mwezi. Zitatoa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Salamu, Naomba kujua kwa wazalendo humu jf kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mashine za kilimo kama powertiller zinafanyika kwa kanuni ipi au mfano umenunua mashine nje ya nchi kwa millioni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa, mkuu mwenyewe! Kupitia vyombo vya habari nimekusikia ukisema, "Mwizi ni mwizi tu"... Ni kweli kabisaaaa paka ni paka tu,..... Sawa WOTE wezi, tumekuelewa mkuu.....
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Tazama Live mashindano ya kuhifadhi Quran Tanzania
10 Reactions
170 Replies
17K Views
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni, Omary Abdallah(Mwenye fulana ya damu ya mzee) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kushawishi rushwa ya...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu Tuwe Wa kweli. JF Toka Imeanzishwa imekuwa na Mchango Mkubwa sana kwa Jamii kwa Ujumla hasa wale wanaoitumia JF kwa Manufaa . Wengi tumefanikiwa na wengine Wametulia mahala walipo...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
'Jeshi la Magereza katika gereza la mahubusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smart phones) zilizokuwa zingizwe gerezani huko na kupewa wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo...
8 Reactions
183 Replies
32K Views
Wadau Wenzangu Wa Mambo Ya Jadi Nimepitapita Maeneo Flani Nimetumwa Nguo Yake Chafu Yenye Jasho Nitaipataje Maana Nitahangaika Nae Miaka Na Miaka Mpaka Akione Cha Mtema Kuni.Sitakubali Kushindwa.
2 Reactions
52 Replies
4K Views
ni kwamba remort inapofanya kazi ni lazima uisogeze kwenye tv karibu sana kitu kingine unapoicommand kwa kutumia remort mfano unapoonda kwenye menu au home icon zinaonekana lakini maandishi...
0 Reactions
3 Replies
918 Views
Habar wana jamvi ?? Natumai tuko vzr tukiendelea kupambana na nchi yetu ambayo imesha kosa muelekeo . Anyway tusahau hayo nimeanzisha uzi ile nione wale wenzangu ambao wamesha wahi kupita...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Kaswali kangu kafupi tu hivyo, naomba kujaua je kuna Ukweli mpaka May, 2017 TRA wanakusanya TZS.1.3Tril? Nilikuwa namsikiliza Rais Magufuli anasema TRA inakusanya wastani wa Mapato ya Kiasi...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
ndugu jf naomba kujua nauli ya Tabora to arusha ni shilling ngapi ? nifahamisheni muda wa safari pia.. je gari zipo na kufanya safari kila siku ? NB: nipo mbali na maeneo tajwa hivo...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Habari wakuu na poleni na majukumu,Kwa sisi watumishi wa umma tuliahidiwa increments mwezi ujao.Je,na huu uhakiki wa NIDA imekaaje sio ndio sababu ya kutukuwepo haki hiyo.!!Unakaribishwa kwa mchango
1 Reactions
1 Replies
530 Views
UWAPO MIKONONI MWA POLISI IMEANDALIWA NA MAWAKILI 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
iInasikitisha kuona maeneo mengi ya mji wa dares salaam mabomba yakiwa yanamwaga maji hovyo barabara ni wakati wakazi wa Bunju b juu njia ya kuelekea Mabwepande hakuna maji kabisa Tumeshapiga...
0 Reactions
5 Replies
835 Views
Wahenga walisema ukipenda boga, penda na ua lake. Kiukweli wahenga waliona kitu katika upendo ambacho kilikuwa hakiendi sawa. Na baadhi ilikuwa ni mtu kumpenda mtu kwa sababu ya kitu flani na kile...
0 Reactions
8 Replies
896 Views
Kuna ajali ya moto ilitokea Jumapili juni 18 huko kilosa.Moto uliwaka katika jengo la #UJENZI leo jioni ulio sababishwa na wapika #Rami Mashine azijafikiwa na moto nakuna Mali yeyote ilio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanini mnachelewa kujiorodhesha sokoni DSE?... Awali mlibainisha kuwa hadi tarehe 12 Juni mtakuwa sokoni kwanini hamjajiorodhesha? na hamjatupa taarifa? ....... Kwanini msiwe na mfumo wa kutu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Yule mwenye jina la MIKATABA YA MIGA ikitokea umekaa naye siti moja kwenye mwendo kasi utamfanyeje? Mimi nadhani nitamzaba kibao Je wewe utamfanyeje?
0 Reactions
6 Replies
940 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…