janjab
Senior Member
- May 28, 2015
- 172
- 56
ni kwamba remort inapofanya kazi ni lazima uisogeze kwenye tv karibu sana kitu kingine unapoicommand kwa kutumia remort mfano unapoonda kwenye menu au home icon zinaonekana lakini maandishi hayaonekani so unashindwa kufanya chochote kingine ni kwamba kuna program zinaonekana zinapita kwa juu na baadae mstary unaonekana unatokea juu had chini halafu inaandika clear resolution hapo ndo nashindwa kuelewa msaada please