Vodacom mnatutia mashaka tulionunua hisa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
4,898
2,000
Kwanini mnachelewa kujiorodhesha sokoni DSE?...
Awali mlibainisha kuwa hadi tarehe 12 Juni mtakuwa sokoni kwanini hamjajiorodhesha? na hamjatupa taarifa? .......

Kwanini msiwe na mfumo wa kutu update tulionunua hisa kupitia simu? eg sms au calls? ....Kwa kweli mnatutia mashaka wateja wenu....Ili tuwaamini jitokezeni hadharani mseme nini kinaendelea huko....

Ajabu hata regulator nae yupo kimya...Njooni hadharani mseme nini kinaendelea huko ili tuwaamini! mnatuvunja moyo!
 

Ngushi

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
9,097
2,000
Kuna watu waliwatahadharisha humu ila mkawa wakali!
Mimi nafikiri hilo ni jepesi sana kwako kama uliweza kufuata zile process zote za kuwa mwanahisa hilo la kwenda kuulizia kama kwanini wanachelewa kujisajili DSE bado ni jipesi kwako
 

JICHO TAI

JF-Expert Member
May 27, 2013
1,112
1,500
mkuu tafuta Daily news ya leo ukurasa wa 19 kwenye column ya business and finance utakutana na heading isemayo Vodacom primary offer results out this week naamini roho yako itatulia
 

JICHO TAI

JF-Expert Member
May 27, 2013
1,112
1,500
Nadhani ukwasi kwenye soko ndo imekuwa changamoto na kuna uwezekano kabisa hawakufikia malengo. Anyway wiki hii watatupa taarifa tusubiri
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom