Naomba kuuliza

Ocenicbay

Senior Member
Apr 9, 2017
103
121
Habari wakuu na poleni na majukumu,Kwa sisi watumishi wa umma tuliahidiwa increments mwezi ujao.Je,na huu uhakiki wa NIDA imekaaje sio ndio sababu ya kutukuwepo haki hiyo.!!Unakaribishwa kwa mchango
 
Kuanzia July mosi tutaanza kuwasomeaha za Kichina.

Chama mbele kwa mbele.
 
Back
Top Bottom