Yule mwenye jina la MIKATABA YA MIGA ikitokea umekaa naye siti moja kwenye mwendo kasi utamfanyeje?
Mimi nadhani nitamzaba kibao
Je wewe utamfanyeje?
Umeongea ya msingi lakini naomba nikurekebishe sehemu moja ... YESU huwezi kumweka kundi moja na hao wanadamu. Rekebisha hapo..!Kama unamaanisha TUNDU ANTIPASI LISSU nie nitaomba kupiga naye picha na nitampongeza kwa kumfukuza baba yetu anayejisifia anambio bila kumtaja anayemkimbiza....nitamwambia kuwa hata akifa leo yeye ni shujaa wa taifa na mfano wa kuigwa na pia nitamwambia imebarikiwa siku iliyotungwa mimba yako na wazazi wako wote wamebarikiwa na familia yako ni yenye bahati kuwa na baba kama wewe.
Pia nitamnongoneza kuwa yeye ni nabii kundi moja na ABRAHAM MUSSA NUHU YESU NA WENGININEO KAMA NYERERE NA CHE GUEVARA.