nauli ya kutoka TABORA TO ARUSHA kwa bus ni kiasi gani?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
590
ndugu jf

naomba kujua nauli ya Tabora to arusha ni shilling ngapi ?

nifahamisheni muda wa safari pia..

je gari zipo na kufanya safari kila siku ?

NB: nipo mbali na maeneo tajwa hivo nisingeuliza huku..
 
Mkuu coast line ndo kila kitu, nauli 30000.
Niliwahi panda ina charging system
 
Back
Top Bottom