Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni amepandishwa kizimbani

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magomeni, Omary Abdallah(Mwenye fulana ya damu ya mzee) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kushawishi rushwa ya Sh milioni moja na kupokea rushwa ya Sh 500,000/-

upload_2017-6-20_16-25-48.jpeg
 
Dahh.....itakua tabia hii katoka nayo mbali..

Za mwizi zimetia.
 
Na alivyo msela sasa, seems kazipiga kweli kweli. Maadili kapuni. Unachezea kazi zama hizi, hapo tu kuna watu 300 wamepigwa pending mwaka sasa kwenye idara hiyo hiyo cha kuwalipa hakuna.
 
Back
Top Bottom