Jeshi la Magereza katika gereza la mahabusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smartphone)

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,509
2,000
'Jeshi la Magereza katika gereza la mahubusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smart phones) zilizokuwa zingizwe gerezani huko na kupewa wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Simu hizo ziliwekwa kwenye mifuko ya nailoni na kufichwa kwenye chakula. Jeshi hilo linamshikilia kijana aliyeleta chakula hicho.!
tmp_6185-IMG-20170619-WA0008-995617014.jpg

tmp_6185-IMG-20170619-WA00112131342463.jpg
tmp_6185-IMG-20170619-WA0008-1418096446.jpg

tmp_6185-IMG-20170619-WA00091130671635.jpg
 

halloperidon

JF-Expert Member
Feb 16, 2015
1,962
2,000
Jeshi la Magereza katika gereza la mahubusu Keko, limefanikwa kukamata simu 5 za kisasa (smart phones) zilizokuwa zingizwe gerezani huko na kupewa wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Simu hizo ziliwekwa kwenye mifuko ya nailoni na kufichwa kwenye chakula. Jeshi hilo linamshikilia kijana aliyeleta chakula hicho.!
240a1b96c429b8f3d7bcbf8e3e084a9a.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom