Tuwe Wakweli... Isingekuwa JF Muda Huu Ungekuwa Unfanya Nini

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,512
2,000
Wakuu Tuwe Wa kweli.

JF Toka Imeanzishwa imekuwa na Mchango Mkubwa sana kwa Jamii kwa Ujumla hasa wale wanaoitumia JF kwa Manufaa .

Wengi tumefanikiwa na wengine Wametulia mahala walipo wakiendelea kujifunza mambo mengi kupitia JF.

Ukiangalia kwa Undani japo JF wanaijumuisha kuwa sehemu ya Mitandao ya Kijamii lakini Majukwaa mengi sana yamejikita katika kuelimisha zaidi.. Kuna Kila aina ya Jukwaa kulinga na Mahitaji ya Kila Member.

Kama isingiekuwa JF Muda huu ningekuwa nasinzia Hapa kazini tu Maake siyo kila Muda unakuwa na Mood ya Kazi.

Hongera Mkuu Max Melo kwa kazi Nzuri Ningependekeza Tuangalia cha Kumfanyia huyu Founder wa JF Mwisho mwa Mwaka Huu...

Nawasilisha
 
mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
716
1,000
Miaka miwili nyuma nakumbuka jf ilifanyiwa matengenezo kama siku tatu hivi..hakika nilikuwa sina kampani kabisa nimekuwa addicted na jf basi tu....huko fb sijui nani agggrrrrrr...jf imenifanya niwe competent sana kwenye jamii yangu....hata kazini pia..
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
156,707
2,000
Wakuu Tuwe Wa kweli.

JF Toka Imeanzishwa imekuwa na Mchango Mkubwa sana kwa Jamii kwa Ujumla hasa wale wanaoitumia JF kwa Manufaa .

Wengi tumefanikiwa na wengine Wametulia mahala walipo wakiendelea kujifunza mambo mengi kupitia JF.

Ukiangalia kwa Undani japo JF wanaijumuisha kuwa sehemu ya Mitandao ya Kijamii lakini Majukwaa mengi sana yamejikita katika kuelimisha zaidi.. Kuna Kila aina ya Jukwaa kulinga na Mahitaji ya Kila Member.

Kama isingiekuwa JF Muda huu ningekuwa nasinzia Hapa kazini tu Maake siyo kila Muda unakuwa na Mood ya Kazi.

Hongera Mkuu Max Melo kwa kazi Nzuri Ningependekeza Tuangalia cha Kumfanyia huyu Founder wa JF Mwisho mwa Mwaka Huu...

Nawasilisha
Kusema kweli kama isingekuwa JF muda huu huu ningekuwa kilingeni nawanga na kufanya ushirikina... Thanks JF
 
Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,434
2,000
JF imeniharibia sana utaratibu wangu wa kusoma vitabu, maana siwezi kuanza kitabu nikakimaliza kisa nakuja JF.
 
sab

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
5,724
2,000
Rais alisema fyatueni , hivyo mi saa hii ningeluwa na fyatua tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom