Kuna document hapa ofisini kwetu hazipatikani kisa hakuna anaekwenda kuchukua.Lakini wapo wanaokwenda huko kila mara lakini hata kujitolea kuzichukua hawafanyi hivyo.Document zenyewe hata kilo 20...
Sisimizi (mdudu chungu) aliwaambia wenzake ; "Ingieni mashimoni kwenu
asije akakukanyageni Mfalme Suleiman na majeshi yake"
Ndiyo na hiki ndio kilichopo sasa, nilikuwa stendi nikijiandaa kwa...
Watoto wawili wa familia moja wakiwa wamelala wameteketea kwa moto uliounguza nyumba yao katika mtaa wa Kirumba jijini Mwanza. Kamanda A. Msangi amethibitisha.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Salim asema Sikukuu ya Eid El-Fitri ni Juni 25 au 26 na swala itaswaliwa katika uwanja wa Mnazi Mmoja.
Taarifa rasmi kutoka Baraza Kuu la Waislam...
Naamini mtazamo wa raisi Magufuli haiwezi kuitwa sheria ya nchi
Naamini kama itatokea mtoto wa hakimu au advocate akapata ujauzito na mwalimu mkuu akawa na kiherehere cha kumfukuza shule hiyo...
Katika maisha kuna tofauti ambazo huwa zinajiktokeza baina yetu. Kuna wakati unaona kabisa mtu anakosea,anaudhi na anaenda mrama (kinyume) sana kwa namna ambavyo unategemea aikune roho yako...
Habari tajwa hapo juu zilibamba Sana hasa miezi ya hivi karibuni, suala la Makonda ndo lilikonga nyoyo za vyombo vya habari, zikaja habari za Madawa ya kulevya, zikapotea, hivi majuzi mambo ya...
Mamlaka ya Mawasiliano nchni-TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la polisi limewataadharisha Viongozi wa serikali mkoa wa Dar es Salaam kuwa makini na ukuaji wa teknolojia katika kutunza mali na...
Ni lini Serikali itatoa majibu ya rufaa ya vyeti feki kwa wenye kufahamu.
Maana mishahara ya Watumishi imesimamishwa sasa Mwezi wa pili pasipo kupewa majibu yeyote kwa waliokata rufaa.
Maalim Seif awapa moyo wafanyabiashara
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad jana usiku umewatembelea wafanyabiashara wa Zanzibar na kusikiliza maoni yao juu ya hali...
Wakazi wa Ibila Kagera wakimbia nyumba zao kuhofia kuungua moto ambao chanzo chake hakijulikani.
Baadhi ya wananchi wa kitongoji cha Ibila kilichoko katika kata ya Mayodwe iliyoko wilayani...
Habari yenu wana JF mimi sipendi kusalimia sana maana dk zangu nichache ila ningeombatu kuuliza kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo kwamba mwanzo humu JF kulikua na jukwaa la sheria ila...
Lushoto, Tanga. Watu wawili ambao ni mtu na mkewe wamefariki dunia wakati wakipata matibabu kwenye zahanati baaada ya kunywa chai inayohofiwa kuwa ilikuwa na sumu.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa...
Barabara hii ni muhimu sana kama itajengwa kwa kiwango cha lami. Itaunganisha mikoa ya kusini na Dodoma. Bidhaa kama cement ya Dangote itawezafika Dodoma na mikoa mingine kwa gharama nafuu hivyo...
Alitoa agizo hilo jana alipofungua barabara ya Msata-Bagamoyo yenye urefu wa kilomita 64 na kubainisha kuwa tangu kujengwa kwa kiwanda hicho, ni halmashauri nne tu zilizonunua dawa hizo kutoka...
Katika jiji la Dar es Salaam nadhani hili linaongoza hasa kwa wale tunaotumia usafiri huu ambao ustaarabu ni zero, unakuta mtu umesimama kituoni masaa mawili kusubiri daladala, alhamudulilah...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maofisa wa Mamlaka ya Kodi ya Mapato Tanzania (TRA) wakusanye kodi za majengo kwa kuzingatia sheria na wasitoze kodi ya majengo wazee wenye umri zaidi ya...