Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama Swali/habari hapo juu. Kutokana na hii miswada ya raslimali madini kuonyesha wazi kuwa haitohusu mikataba ya nyuma iliyosainiwa fasta fasta na kwamba itahusu wachimbaji wapya. Eti ni sehemu...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Ushenzi ni dunia nzima! 26-year-old man charged with raping family friends' one-year-old baby
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Mwenye kufahamu hili tujuzane maana misuko suko anayopitia kama bado diwani anapata muda muda gani wakusikiliza kero za wananchi wake maana kila kukicha kwake afadhari ya jana?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wandugu za kaz,kwa mtazamo wangu hapo kuna mazambi yamefanyika iweje Bosi wa bandari aseme vichwa vya TRL na Boss wa TRL anaseema havijui yaani kama Petro alivyomkana Yesu lakini baadaye alikubali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwenye jamii zetu nyingi Kuna matabaka mbalimbali,Watu wa kati wa juu Na wa chini.Na inatokea tunaishi kwa kuchangamana. Rai Yangu,inapotokea unakaa Na jirani hajiwezi kabisa Si kwa mavazi ama...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
MUNGU huwa anapotupa neema ya mvua,anategemea tufanye kazi kwa bidii katika kuitumia hiyo mvua ili tujiletee maendeleo hasa kupitia kilimo, maji ya kunywa nk. Hata hivyo, wengi wetu tumekuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Chunguza kwa makini bidhaa hii
1 Reactions
9 Replies
2K Views
SADAKA YA AJABU KULIKO ZOTE:- (Unatakiwa kuitoa hata kama kanisa lako hawaifundishi ama kuisisitiza). Kuna sadaka inaitwa Fungu la kumi (Zaka/Tithe) ambayo unatakiwa kutoa asilimia 10 ya mapato...
18 Reactions
59 Replies
14K Views
Kumekua na wimbi la wizi wa magari.Licha ya huu wizi kwa nini watu hawataki kutumia "car trackers".Naomba kujuzwa manaake mimi binafsi sina gari lakini natoa tu mwazo yangu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzee wa upako ameongea hayo kwenye kipindi cha EATV cha ujenzi anashangaa wanaowasifia watu waliofanya kazi miaka mingi serikalini na hawana mali pengine hata kitanda, watu wanamsifu ni muadilifu...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Ninajiuliza swali moja muhimu ninapowaona wanaouza dawa za asili(wengi wao wakiwa wamasai)wanapotangaza kwamba wanauza dawa za kuongeza nguvu za kiume Sasa ninajiuliza nikwanini hawauzi dawa za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima kwenu, kwanza nipende kushuru (sijui wa kumshukuru) kwa muujiza huu uliotendeka hapa Tanzania, hii inaonesha ni kwanamna gani nchi yetu ni tajiri na yenye bahati kubwa. Haijawahi kutokea...
0 Reactions
2 Replies
792 Views
HUSIKA NA KICHWA HAPO JUU. Naamini hili shirika lipo kwa ajili ya kuhakiki viwango na ubora wa kila bidhaa zinazoingia kutoka nje ya nchi au zinazotengenezwa ndani ya nchi. NIWAPONGEZE KWA BAADHI...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamii forums; Kama kichwa cha mada kinavyosema, naomba mawasiliano ya dereva bodaboda au fundi maarufu wa bodaboda aliyepo masasi au mtwara mjini. Nb. Hii ni kwa ajiri ya utafiti...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NIENDE MOJA KWA MOJA KATIKA MADA HUSIKA. BINAFSI: Napata shida sana kuwaelewa baadhi ya wamiliki wa vyombo vya moto kama akili zao zipo sawa sawa au ni ushamba au ujinga uliokubuhu. Kama wewe ni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa imenitaarifu maeneo ya Ukonga Dar e s Salam, kati Magereza na Madafu kumetokea ajali mbaya, daladala aina ya coaster imepigwa ubavuni na roli la mchanga. Kwa mujibu wa maelezo yake...
4 Reactions
48 Replies
10K Views
Ameandika,kuhusu zile nyakati ngumu tunazopitiaga,nguri huyu katika ukuta wake wa facebook!nikaona niibebe kama ilivo niilete jamvini,inaweza wasaidia wanajukwaa! NAOMBA NIKUTIE MOYO RASMI:-...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari ya kutwa wadau.... Binafsi nakerwa na huduma inayotolewa na wahudumu wa Azam TV, pale unapopiga simu kuomba huduma yao, iwapo kama umelipia halafu hauunganishwi na huduma ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Tunaomba kwa mtu yeyote mwenye uwezo au mwenye kujua taasisi au namna ya kuweza kupata ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye uhitaji ufadhili wa masomo ngazi ya shahada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amefariki dunia katika ajali ya lori la makaa ya mawe kutoka kampuni ya Odyssey Express LTD, Mara baada ya lori hilo kupinduka katika daraja la mto...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom