Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,739
- 5,979
Habari ya kutwa wadau....
Binafsi nakerwa na huduma inayotolewa na wahudumu wa Azam TV, pale unapopiga simu kuomba huduma yao, iwapo kama umelipia halafu hauunganishwi na huduma ya king'amuzi,.... Kuzima na kutopatikana huduma ya king'amuzi n.k...
Unaweza piga cm, ikaita weeee bila kupokelewa na wahudumu mpaka battery ya simu inazima...
Mimi Binafsi sijui niseme nina bahati mbaya au ndivyo ilivyo kwa wenzangu wenye mahitaji kama yangu,.... Inakera sana, uliyemlipa pesa yako, hakupi huduma na hata simu yako haipokelewi...
Sijawahi pata bahati ya kupokelewa simu na wahudumu hawa,.. Hii ikoje kwa wenzangu?