Sadaka ya ajabu kuliko zote

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,313
2,000
SADAKA YA AJABU KULIKO ZOTE:-
(Unatakiwa kuitoa hata kama kanisa lako hawaifundishi ama kuisisitiza).

Kuna sadaka inaitwa Fungu la kumi (Zaka/Tithe) ambayo unatakiwa kutoa asilimia 10 ya mapato yako yote. Sadaka hii umaajabu wake uko hapa:- usipoitoa kwa HIARI itakutoka kwa LAZIMA.

KIMSINGI....

Hii sadaka unapoitoa inafanya kazi kubwa mbili:-

1). Inalinda na kuhifadhi usalama wa mambo yako yote:- (biashara yako, afya yako, ndoa yako, watoto wako, afya za wanaokutegemea, akiba zako, fedha zako, usalama wa mali zako, ajira yako, mshahara wako n.k)

2). Inafungua madirisha ya baraka:- (yaani unakuwa na ideas nyingi useful, unakuwa na uwezo wa kubuni na kutekeleza, unakuwa na nguvu ya pekee kufanya kazi, unakuwa na maono, unakuwa na kibali kwa kila ulifanyalo, unakuwa na spidi kubwa kimaendeleo, n.k). [MALAKI 3:8-12]

CHA AJABU....

Kwa kuwa kazi ya sadaka hii ni kukulinda, usipoitoa kwa hiari tena kiukamilifu, maana yake ni kwamba ule ulinzi unakuwa haupo. Ndio utashangaa umeuchuna kutoa hilo fungu la kumi let say elfu themanini (katika laki nane unayolipwa), halafu unapigiwa simu kwamba mzazi anaumwa kijijini na unakwenda kutumia laki mbili!

Ama ndio ile unagoma kutoa fungu la kumi then unashangaa kila mshahara ukitoka ama kila ukishika fedha, matatizo yanaongozana msururu, kufumba na kufumbua unakuta hela zimeisha bila hata kujielewa elewa! Kama una tatizo katika ndoa yako, kabla hujaomba ama kuombewa hebu kagua ikiwa unatoaga fungu la kumi kiuaminifu.

Huwezi kuacha kutoa fungu la kumi kwa uaminifu halafu uchumi wako ukabaki salama. Huwezi ukaacha kutoa fungu ka kumi halafu uwe na garantii ya kwamba ndoa yako itakuwa ni, "heat free marriage", "stress free marriage", ama "Haeaven on Earth" marriage. Haiwezekani!

Na kama huwa hutoi fungu la kumi na unadhani kuwa uko salama, huenda hujajua kwamba kutotoa kwako ndio kunasababisha mambo yako yawe magumu kifedha ama yawe yanaenda kwa jasho jingi sana. Kama unatoa fungu la kumi kiuaminifu hutakiwi kuwemo katika orodha ya wanaopambana na joto la fedha kuwa ngumu mtaani. Nakuona unajitetea moyoni kutokana na kutotoa kwako. Pleaseee hebu jaribu kuitoa hii sadaka kwa uaminifu ujionee inavyothibitisha kile anachosema Mungu kuhusu sadaka hii.

HALAFU...

Huo unaoufanya ni utoto ujue! Yaani Mungu anakupa milioni moja unakuwa mchoyo kumpa laki moja?!!?!!? Hivi unajua kwamba Mungu hafanyagi madili makubwa/ya maana na watoto? Unajichelewesha na kujiangamiza ujue?

Hakuna maombi wala matamko ya kinabii yatakayokufanikisha kiuchumi, kindoa, kiuzazi, kikazi ikiwa hautoi fungu la kumi kwa bidii, kwa furaha na uaminifu. Hata kama unatafuta mtoto, mume, ajira (n.k) unapoendelea na maombi ama kuombewa tafadhali zingatia sana fungu la kumi. Sadaka zote unazotoa zinaanza kuwa na maana ukishakuwa umemalizana na Mungu katika kipengele cha fungu la kumi.

Na kama hutoagi fungu la kumi wala hata usijichoshe kumuomba Mungu kwamba akubariki kiuchumi. Tena uelewe kwamba suala sio kiwango, suala ni moyo. Kama unaona ni ngumu kutoa fungu la kumi katika laki moja unayopata sasa, usifikiri ukishika milioni utaweza kutoa, kinachokuzuia sasa na laki moja ndicho kitakuzuia mbeleni na milioni kumi.

USISAHAU...

Mimi sikuelezi habari nilizozisoma ama kujifunza tu, hapana! Ninakueleza uzoefu halisia kutoka katika maisha yangu. Ninarekodi ya majanga na misala iliyonipata kwa kupuuza fungu la kumi ama kutotoa kwa uaminifu na ninazifahamu baraka za kuzingatia fungu la kumi kwa uaminifu. Nilishaweka agano na Mungu ya kwamba sitakaa nicheze na habari ya fungu la kumi, maana kibano chake sio cha hapa! Kama unabisha, shauri yako, endelea kuhanya hanya hivo hivo!

[HASHTAG]#SmartMind[/HASHTAG]
 
Thegreatcardina

JF-Expert Member
Mar 29, 2009
399
225
Endelea kuelezea... Ulikuwa unafanya nini.... ukapata mikosi gani... kwa muda gani..... na umebadilika lini? Tupatie huo uzoefu halisi bila chenga.
 
deleate

Member
Feb 20, 2017
11
45

Nashukuru. Uko sahihi kabisa. Binafsi nalifanyia kazi.
 
Rjohn

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
614
225
Hadi moyo wangu umesisimka kwa hii.....
Umeelezwa ukweli mtupu kwangu aiseee naomba mungu anisaidie aisee
 
PHILE1879

JF-Expert Member
May 6, 2013
620
500
MIMI NATOFAUTIANA NA WEWE

No Tithing for Christians. At no time were first-century Christians commanded to pay tithes. The primary purpose of the tithing arrangement under the Law had been to support Israel’s temple and priesthood; consequently the obligation to pay tithes would cease when that Mosaic Law covenant came to an end as fulfilled, through Christ’s death on the torture stake. (Eph 2:15; Col 2:13, 14) It is true that Levitical priests continued serving at the temple in Jerusalem until it was destroyed in 70 C.E., but Christians from and after 33 C.E. became part of a new spiritual priesthood that was not supported by tithes.—Ro 6:14; Heb 7:12; 1Pe 2:9.
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,662
2,000
SADAKA YA AJABU KULIKO ZOTE:-
(Unatakiwa kuitoa hata kama kanisa lako hawaifundishi ama kuisisitiza).

Kuna sadaka inaitwa Fungu la kumi (Zaka/Tithe) ambayo unatakiwa kutoa asilimia 10 ya mapato yako yote. Sadaka hii umaajabu wake uko hapa:- usipoitoa kwa HIARI itakutoka kwa LAZIMA.

KIMSINGI....

Hii sadaka unapoitoa inafanya kazi kubwa mbili:-

1). Inalinda na kuhifadhi usalama wa mambo yako yote:- (biashara yako, afya yako, ndoa yako, watoto wako, afya za wanaokutegemea, akiba zako, fedha zako, usalama wa mali zako, ajira yako, mshahara wako n.k)

2). Inafungua madirisha ya baraka:- (yaani unakuwa na ideas nyingi useful, unakuwa na uwezo wa kubuni na kutekeleza, unakuwa na nguvu ya pekee kufanya kazi, unakuwa na maono, unakuwa na kibali kwa kila ulifanyalo, unakuwa na spidi kubwa kimaendeleo, n.k). [MALAKI 3:8-12]

CHA AJABU....

Kwa kuwa kazi ya sadaka hii ni kukulinda, usipoitoa kwa hiari tena kiukamilifu, maana yake ni kwamba ule ulinzi unakuwa haupo. Ndio utashangaa umeuchuna kutoa hilo fungu la kumi let say elfu themanini (katika laki nane unayolipwa), halafu unapigiwa simu kwamba mzazi anaumwa kijijini na unakwenda kutumia laki mbili!

Ama ndio ile unagoma kutoa fungu la kumi then unashangaa kila mshahara ukitoka ama kila ukishika fedha, matatizo yanaongozana msururu, kufumba na kufumbua unakuta hela zimeisha bila hata kujielewa elewa! Kama una tatizo katika ndoa yako, kabla hujaomba ama kuombewa hebu kagua ikiwa unatoaga fungu la kumi kiuaminifu.

Huwezi kuacha kutoa fungu la kumi kwa uaminifu halafu uchumi wako ukabaki salama. Huwezi ukaacha kutoa fungu ka kumi halafu uwe na garantii ya kwamba ndoa yako itakuwa ni, "heat free marriage", "stress free marriage", ama "Haeaven on Earth" marriage. Haiwezekani!

Na kama huwa hutoi fungu la kumi na unadhani kuwa uko salama, huenda hujajua kwamba kutotoa kwako ndio kunasababisha mambo yako yawe magumu kifedha ama yawe yanaenda kwa jasho jingi sana. Kama unatoa fungu la kumi kiuaminifu hutakiwi kuwemo katika orodha ya wanaopambana na joto la fedha kuwa ngumu mtaani. Nakuona unajitetea moyoni kutokana na kutotoa kwako. Pleaseee hebu jaribu kuitoa hii sadaka kwa uaminifu ujionee inavyothibitisha kile anachosema Mungu kuhusu sadaka hii.

HALAFU...

Huo unaoufanya ni utoto ujue! Yaani Mungu anakupa milioni moja unakuwa mchoyo kumpa laki moja?!!?!!? Hivi unajua kwamba Mungu hafanyagi madili makubwa/ya maana na watoto? Unajichelewesha na kujiangamiza ujue?

Hakuna maombi wala matamko ya kinabii yatakayokufanikisha kiuchumi, kindoa, kiuzazi, kikazi ikiwa hautoi fungu la kumi kwa bidii, kwa furaha na uaminifu. Hata kama unatafuta mtoto, mume, ajira (n.k) unapoendelea na maombi ama kuombewa tafadhali zingatia sana fungu la kumi. Sadaka zote unazotoa zinaanza kuwa na maana ukishakuwa umemalizana na Mungu katika kipengele cha fungu la kumi.

Na kama hutoagi fungu la kumi wala hata usijichoshe kumuomba Mungu kwamba akubariki kiuchumi. Tena uelewe kwamba suala sio kiwango, suala ni moyo. Kama unaona ni ngumu kutoa fungu la kumi katika laki moja unayopata sasa, usifikiri ukishika milioni utaweza kutoa, kinachokuzuia sasa na laki moja ndicho kitakuzuia mbeleni na milioni kumi.

USISAHAU...

Mimi sikuelezi habari nilizozisoma ama kujifunza tu, hapana! Ninakueleza uzoefu halisia kutoka katika maisha yangu. Ninarekodi ya majanga na misala iliyonipata kwa kupuuza fungu la kumi ama kutotoa kwa uaminifu na ninazifahamu baraka za kuzingatia fungu la kumi kwa uaminifu. Nilishaweka agano na Mungu ya kwamba sitakaa nicheze na habari ya fungu la kumi, maana kibano chake sio cha hapa! Kama unabisha, shauri yako, endelea kuhanya hanya hivo hivo!

[HASHTAG]#SmartMind[/HASHTAG]
Asante mkuu. Ngoja nikimbie kwa paroko nimpelekee fungu langu la kumi. Umetoa elimu nzuri sana.
 
Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
3,588
2,000
Hivi hii zaka au fungu la kumi inatakiwa itolewe baada ya kuondoa matumizi yote yaliyopelekea kupata kiasi kinachotakiwa kutolewa hilo fungu au ni kabla ya kutoa matumizi (gross income au net income)?

Asilimia kumi ya 1,000,000/= ni 100,000/=.

Sasa kwa mfano kama nimepata pato gafi (gross income) ya 1,000,000/= na hadi kuja kupata hilo pato la 1,000,000/= nililazimika kuingia gharama zinazofikia 900,000/= inamaanisha net income au profit yangu ni 100,000/=. Swali langu ni je nitoe zaka (10%) kutoka kwenye hilo pato gafi la 1,000,000/= au itoke kwenye faida ya 100,000/= ili nisimwibie au kumzidishia mwenyezi Mungu? Maana kwenye kutoa fungu la kumi hatutakiwi kupunja au kuzidisha.
 
MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,933

Zaka ni asilimia kumi ya mapato yako yote ya halali.
 
Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
31,593
2,000
Je kutoa fungu la kumi wakati una ndugu ama jamaa wa karibu ana shida ni sahihi? Pia je fungu la kumi ni lazima litolewe mara moja ama unaweza ukaigawanya hiyo fedha ukaitoa kama sadaka jumapili zaidi ya moja
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,923
2,000
Mwisho wa siku utatuelekeza tutoe hili fungu la kumi kwa nabii yupj, teh teh teh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom