Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Ninajiuliza swali moja muhimu ninapowaona wanaouza dawa za asili(wengi wao wakiwa wamasai)wanapotangaza kwamba wanauza dawa za kuongeza nguvu za kiume
Sasa ninajiuliza nikwanini hawauzi dawa za kuongeza nguvu za kike?
Au wanawake hawaishiwi na nguvu/au kukosa hamu ya zoezi lile muhimu?
Naombeni majibu
Sasa ninajiuliza nikwanini hawauzi dawa za kuongeza nguvu za kike?
Au wanawake hawaishiwi na nguvu/au kukosa hamu ya zoezi lile muhimu?
Naombeni majibu