Ni Sehemu gani Tanzania kuna Madini ambayo bado hayagaiwa/kusainiwa mikataba na wazungu?

Emmadogo

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,126
3,751
Kama Swali/habari hapo juu. Kutokana na hii miswada ya raslimali madini kuonyesha wazi kuwa haitohusu mikataba ya nyuma iliyosainiwa fasta fasta na kwamba itahusu wachimbaji wapya.
Eti ni sehemu gani Tanzania ambayo bado haijagaiwa kimikataba na ina hayo madini?
Maana mikataba ni siri mpk leo hatujui ni ya miaka mingapi mpk ije kuisha inaweza kuwa ya miaka 100 huwezi jua maana ni Siri!
Maana hata pale Loliondo nasikia eti ni miaka 99
What if kama kila sehemu imeshagaiwa kwenye hiyo mikataba Siri ya zamani?? Hizi sheria zitakuwa na maana gani hata kama wakizinyumbulua nyumbulua??
 
Hiyo uranium haijgaiwa kweli bado? Maana nakumbuka 2015 ilikuwa ndio story....kweli hawajammilikisha mtu.kweli?
Uranium naskia ilikua ligi ya mmarekani na mrusi..... coz km tungeanza uchimbaji, tz ingekua inaongoza....
 
Na si ndio maana Obama akaja that time. Ina maana alikabidhiwa maana tulisikia putin anakuja then ghafla safari yake ikafa akaja HUYO Mkikuyu akapewa na barabara sasa sijui kama hakupewa kingine
 
Mkuu noma sana aisee, wazungu wametake over, ila ngoja tuone hiyo sheria mpya ya madini kama itasaidia kulinda maslahi
 
Kama Swali/habari hapo juu. Kutokana na hii miswada ya raslimali madini kuonyesha wazi kuwa haitohusu mikataba ya nyuma iliyosainiwa fasta fasta na kwamba itahusu wachimbaji wapya.
Eti ni sehemu gani Tanzania ambayo bado haijagaiwa kimikataba na ina hayo madini?
Maana mikataba ni siri mpk leo hatujui ni ya miaka mingapi mpk ije kuisha inaweza kuwa ya miaka 100 huwezi jua maana ni Siri!
Maana hata pale Loliondo nasikia eti ni miaka 99
What if kama kila sehemu imeshagaiwa kwenye hiyo mikataba Siri ya zamani?? Hizi sheria zitakuwa na maana gani hata kama wakizinyumbulua nyumbulua??
Basi BBC dira ya dunia sio reliable source maana wamesema sheria zitapitia pia mikataba ya nyuma!
 
Maeneo mengi sana hapa tanzania yana leseni kubwa hawa jamaa weupe nishida sijui servey washafanya lini?
 
Back
Top Bottom