Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Naamini kabisa, hiki kilicho nikuta, wapo wengine kutoka sehemu mbalimbali, kimekwisha watokea. Hizi/hivi katika picha ni Flash (usb2.0 32GB)...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Hofu imetanda kuhusu madereva waliotekwa na waasi wa Mai-Mai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwamba huenda wakatumiwa na waasi hao kama ngao wakati wa mapambano baina...
1 Reactions
4 Replies
812 Views
Kesi namba 458 inayomkabili Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence na mwenzake imeahirishwa hadi Agosti 10. Upande wa mahakama umelazimika kuahirisha kesi hiyo kwa sababu za kutokuwepo Hakimu. Kesi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu Wazalendo wenzangu. Kwa wale wachapa kazi wenzangu, Hongereni sana tena sana kwa Uwajibikaji makini wa kusukuma mbele Gurudumu la maendeleo ya "Tanzania ya viwanda". Hakika...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasichana wa umri mdogo nchini Uingereza wanafanyiwa upasuaji kurekebisha sehemu zao za uzazi kwa sababu hawapendezwi na muonekano wake, kipindi cha runinga cha Victoria Derbyshire kimefahamishwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hivi karibuni mfuko wa NHIF umetoa utaratibu mpya wa kuandikisha wanachama na wategemezi wao. Nafasi ziko tano na ya sita ni ya mchangiaji mwenyewe. Ila sasa wanasema kuwa mtegemezi atakuwa...
4 Reactions
104 Replies
11K Views
Kumekuwepo na kusita sita kwa serekali katika kupima viwanja vya makazi biashar hata viwanda... Sekta ya ardhi imekuwa inakua kila siku kutokana na mahitaji ya ardhi kupanda kwa kasi nzuri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni hakika kuwa mifuko ya pensheni iko mingi hapa Tanzania. Kila mfuko umekuwa ukijitahidi kubuni namna bora ya kuvuta wanachama. Mbinu niyngi zimekuwa zikitumika, zikiwamo hata zisizokuwa na...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Tunakumbuka ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent iliyotokea Karatu, Arusha na kuua 32 na kuacha Majeruhi watatu ambao wanatibiwa kwenye Hospitali ya Mercy, Sioux City Iowa, Marekani huku...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf, Ningependa kujua kazi ya mifuko katika sare za hili jeshi letu ina kazi gani katika sehemu zao za kazi? Karibuni wajuvi Wa hili.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwakweli inasikitisha sana kwa hiki ambacho star times wanatufanyia yani ni karibu wiki sasa hatupati matangazo mbaya zaidi ukiwapigia hawana majibu ya kutupa zaidi ya kujikanyaga. Kuna tetesi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
IDARA ya Afya, wilayani Igunga imepiga marufuku wananchi kuingia na mifuko ya rambo hospitali ili kuepusha vyoo kuziba. Ofisa afya wilaya, John Masesa, alisema wameamua kuchukua uamuzi huo baada...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KATIBU Tawala Mkoa wa Tabora, Dk. Thea Ntara amemtaka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete kuwakamata na kuwafikisha polisi watumishi wawili wa hospitali hiyo wanaotuhumiwa kukutwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ina mpango wa kupeleka pendekezo bungeni litakaloipa mamlaka ya kusimamia fukwe zote katika ukanda wa Bahari ya Hindi nchini kutoka mikononi mwa watu ili kukuza utalii na kuongeza mapato...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, unapenda mbwa, unataka, unampango wa kuja kufuga mbwa basi hapa chini ni baadhi ya mambo ya kujua kabla hujamleta nyumbani Awe ni mlinzi wa nyumbani ama “Companion/pets”(Kutembea naye, kulala...
3 Reactions
9 Replies
11K Views
Ni zaidi ya saa moja nimekaa kituoni Kimara, mabasi yanakuja mojamoja na idada ya watu inazidi kuongezeka kituoni na hakuna taarifa yeyote! Jamaani mwenye taarifa atujuze
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu katika tembea tembea kwenye mitandao nikakutana aina ya mmea unaitwa EPIMEDIUM au maarufu kama HORN GOAT WEED Asili ya huu mmea ni China na inasemekana mmea huu miaka mingi...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Pamoja na takwimu za Jeshi la Polisi zinaonyesha kuwa bodaboda zinaongoza kwa kusababisha ajali nchini lakini kumbe pia imefahamika bodaboda zinarahisisha sana michepuko kwa wanandoa na hata...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mwaka 2005 benki ya CRDB ilizindua akaunti maalum kwa watanzania ambao walikuwa nje ya mipaka ya Tanzania kwa masomo, biashara ajira au pilikapilika zingine. Akaunti hiyo ilojulikana kama...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mhe.Waziri kwanza nakusalimu. Awali ya yote kwa heshima na taadhima tunakuomba sana kutukamilishia barabara yetu ya kutoka Mika Mpaka Ruari Port mpakani mwa nchi ya Tanzania na Kenya kwa kiwango...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Back
Top Bottom