Kuna nini kipo nyuma ya pazia kuhusu bidhaa hii?

FezzyJoe

Senior Member
Jun 2, 2017
115
45
Chunguza kwa makini bidhaa hii
FB_IMG_1499187504929.jpg
 
Ni ubora unaoendana na mahitaji halisi ya Watanzania na imethibitishwa na TBS ya Tanzania na kupigwa nembo ya Tanzania hivyo haviwezi kuuzwa kwenye nchi nyingine zenye mamlaka tofauti za ubora. Kumbuka zinakotenenezewa kuna wakala wa TBS anayehakikisha ubora kuwa vinafaa kutumika na Watanzania , sasa vikishapigwa lebo ya ubora wa tanzania haitapendeza vipelekwe nchi nyingine ijapokuwa bidhaa ni ile ile na ubora ni uleule. Hiyo issue ni ya kawaida sana kwa bidhaa nyingi zinazoingizwa nchini na ambako kuna mwakilishi wa TBS. Hivyo ukiona bidhaa imeandikwa hivyo uwe na imani nayo kwani ni salama na imehakikiwa kwa matumizi ya Mtanzania.
 
Back
Top Bottom