Pamputi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 982
- 724
Habari wanajamvi,
Tunaomba kwa mtu yeyote mwenye uwezo au mwenye kujua taasisi au namna ya kuweza kupata ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wenye uhitaji ufadhili wa masomo ngazi ya shahada watusaidie kwa vijana kadhaa ambao wanaendelea na masomo lakini wakiwa na uhitaji mkubwa sana.
Wapo vijana wawili so far ambao mmoja anasoma Bsc. Science general ambapo amehitimu mwaka wa kwanza sasa lakini uwezekano wa kumalizia miaka mingine miwili ni mgumu kutokana na kutokua na uwezo wa kumudu gharama, Ada ya kozi yake ni Tsh 1.3 Milion kwa mwaka.
Mwingne ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya sheria (bachelor of laws) ambae pia amemaliza mwaka wa kwanza ila uwezekano wa kumalizia miaka mingne mitatu ni ngumu kutokana na hali yake ya kiuchumi. Ada yake ni Tsh 1.5 Milion.
Wito kwa yeyote mwenye uwezo na moyo wa kuwasaidia hawa vijana wawili atuachie mawasiliano yake hata PM ili tuweze kuwasiliana nae kwa ajili ya kumkutanisha na watoto hawa.