Mzee wa Upako: Mtu anafanya kazi serikali miaka kadhaa anakufa bila mali huyo sio muadlifu ni fala

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Mzee wa upako ameongea hayo kwenye kipindi cha EATV cha ujenzi anashangaa wanaowasifia watu waliofanya kazi miaka mingi serikalini na hawana mali pengine hata kitanda, watu wanamsifu ni muadilifu, huyo sio muadilifu ni fala
Cha muhimu ni kuhoji hizo mali kazipataje, watu wakiwa wanasifia umasikini uchumi hautakua

Huo ni ukweli ila ziwe Mali halali
 
Watumishi wa serikalini wakiwa bado wako kwenye ajira mbwembwe nyingi,wakistaafu wanakuwa na Hali mbaya Sana kimaisha mifano tunayo mitaani tunakoishi
 
Mtumishi mwadilifu atatoka saa 9 na nusu kazini kwake ukijumlisha foleni ataingia home saa 11 hivi...navojua maendeleo binafsi mbali na mshahara lazima utaiba mda wa serikali tu.Inatakiwa uwe na % kadhaa za ubabaishaji.
 
Mzee wa UPAKO yuko sahihi.
Na mtu mpinga maendeleo hana tofauti na MCHAWI...!! amesahau tu kuongezea hili.
 
yaani kweli tupu,

unless anawatoto 10 anasomesha private, otherwise atakuwa mhongaji au mtu wa matanuzi saana
 
Hata mwalimu hakustaafu na mali wala Yesu hakuwa na mali hizi za kidunia. Anyway kashathibitika ni mlevi hatushangai kwamba kalewa hadi visenti vya sadaka ukiacha laga anazopiga. Sasa kutumia injili kupiga biashara na kujitajirisha nayo inaitwaje isije ikawa alikuwa bwii akatamka vice versa.
 
Mzee wa upako ameongea hayo kwenye kipindi cha EATV cha ujenzi anashangaa wanaowasifia watu waliofanya kazi miaka mingi serikalini na hawana mali pengine hata kitanda, watu wanamsifu ni muadilifu, huyo sio muadilifu ni fala
Cha muhimu ni kuhoji hizo mali kazipataje, watu wakiwa wanasifia umasikini uchumi hautakua

Tokea alivyo anza kunywa konyagi maneno take ayahaminiki
 
Back
Top Bottom