Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Basi la mwendokasi limeharibika kituo cha shekilango Na kufunga njia yake hivyo kulazimisha mabasi mengine kupita barabara ya kawaida Na kuongeza kero . Inaonekana wameshindwa hata kuulivuta...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Zamani palikuwa na mfalme aliyekuwa na masikio kama ya punda.Siku zote alikuwa akifunga kilemba kichwani kuficha masikio yake.Nywele zake zilikua,Zikawa ndefu sana. Siku moja mfalme...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Mkuu wa wilaya ya Karagwe iliyoko mkoani Kagera Mhandisi Richard Ruyango ameliagiza jeshi la polisi kuwakamata na kuwafikisha Mahakamani viongozi wa kata Ngenge ambao ni pamoja na diwani wa kata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mamlaka ya udhibiti wa mawasiliano nchini-TCRA- imeyataka makampuni ya simu kusitisha matangazo ya biashara yanayowekwa kabla ya miito ya simu ili kuwawezesha watumiaji wa simu kupata huduma ya...
24 Reactions
141 Replies
17K Views
Hi to everybody, Tafadhali kichwa cha uzi kinajieleza, Katika uhakiki wa kwanza nilipona sikugundulika kama nina vyeti feki. Nimesikia uhakiki unarudiwa upya, je nifanyeje? Ofisi naiona chungu...
4 Reactions
61 Replies
5K Views
Magufuli hakuleta kitu kipya bali alikazia utaratibu wa muda mrefu uliokuwepo huko nyuma. Lengo ni kudhibiti tabia chafu ya ngono mashuleni. Kusimamia ubora wa elimu nchini pamoja na kukomesha...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa kweli ndugu zangu tuweke akiba ya maneno la sivyo itatucost Mambo mengine naona bora tukae kimya tu
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Moja ya habari zilizoshtua zaidi na kufanya vijana waamke usiku huu ni video zinazosambazwa katika whatsapp groups zikionesha chakula cha wali kikigeuzwa vitenesi na kudunda kabisa.. Ikiwa ni...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimesikia tangazo muda si mrefu kabla ya kipindi cha michezo cha Clouds FM la mume na mke kama mada hapo juu inavyosema limenisikitisha kiasi kwa huo ubunifu wao katika maadili yetu. Nimeona...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
KWA WAVUMILIVU TU... PENTECOSTAL CHURCH PASTOR CLAIMS IT IS EASY TO HAVE SEX WITH GIRLS WHO GO TO CHURCH THAN THOSE WHO DON'T A Pastor of a Pentecost church in South Africa has claimed that it is...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nimemsikia Mh.Rais akitatua kero za mama mmoja huko Mwanza papo kwa papo,sasa na nyiye Wazee mungefuata utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kumuona Mh.Rais mumkabidhi malalamiko yenu.Nina imani...
0 Reactions
5 Replies
823 Views
Kila siku hizi zinapita rocket kwenye anga.kuna project kubwa zimeongezeka zinahusu nini?
0 Reactions
61 Replies
15K Views
"Hakuna ambaye angetarajia kwamba baada ya kuunguzwa kwa tindikali na kufanyiwa upasuaji mara 17 nitaweza kupata mpenzi. Lakini sasa mambo ni tofauti, naolewa," ameliambia gazeti la Hindustan...
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Wakuu Naomba niwasalimu... Toka nasoma Somo la Uraia nimekuwa nikiaminishwa kuwa Katika kila Nchi Kuna Mihimili Mitatu ambayo haingiliani kiutendaji.. Mahakama, Bunge na Serikali. Kwa uhakika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nyumba iliyoshika moto,mda mdogo uliyopita, na kutoa moshi mzito, uliwashtua vijana wa maskani, maeneo ya Mkwajuni, na kukukimbilia eneo la nyumba iliyokuwa ikiungua, na kuzima moto. Nyumba hiyo...
0 Reactions
5 Replies
943 Views
Wandugu kwa hili LA Babu yangu Mugabe alilofanya kwa kutoa mchango kwenye Umojaj wa Afrika kiasi cha Dola 1M US dola, na ukitathimin maisha ya wenzetu Kule wanasafa na life gumu kutokana na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakishalewa,amani iwe nanyi. Kila mahali anapokuwepo Mh Rais, huwa na wingi na aina ya magari ya Ikulu vilevile. Mathalani anaweza kuwepo Dsm asubuhi, atakuwa na msafara wa magari yaleyale ,na...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Habr wakuu! Huyu wazr wa UHAKIKI tangu aanze UHAKIKI mwaka Jana mpaka leo mwaka mzima katoa report 1 tu na ya 2 bado huku akiwa amesimamisha kila kitu kinachohusu watumishi je, Ww huoni kama...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna msongamano mkubwa kutokana na watu kuitika wito wa property tax. Inaonyesha siku ya leo halitoshi kwa sababu TRA hawakujuandaa na mafuriko. Serikali iongeze siku ili waitikie wito huu kwa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili Sanifu Toleo la pili (2010) FURSA: Ni nafasi ya kuweza kufanya jambo; Wasaa, abra. HAMASA: Ni hamu na uwezo wa kufanya jambo; Bidii, kani, Changamoto. Leo...
7 Reactions
62 Replies
22K Views
Back
Top Bottom