Wakizungumza kwa masikitiko makubwa na mwandishi wa uzi huu kwa sharti la kutotajwa majina ma RDj's wa Redio inayokuja kwa kasi na ambayo imeshaanza kujizolea sifa na umaarufu mkubwa nchini ya Efm...
Mtu una hela kama Singa singa/Manji/Rugemalila na wengineo
Bado una ng'ang'ana kula hizo hela hapa nchini kwenye umaskini uliotopea badala ya kukamata dual citizen na kutokomea visiwa vya Bermuda...
Jeshi la polisi mkoani Morogoro linamshikilia Kimosa Kibona(43) Mkazi wa Tarafa ya Mlali kwa tuhuma za kukutwa na pembe mbili za ndovu zenye thamani zaidi ya Sh 33 milioni.
Kamanda wa polisi...
Haya mataa mapya hapa njia panda ya Goba, Africana na Mbuyuni naona kama yameongeza unnecessary jam kwa namna niijuavyo njia hii na hali ya jam ilivyo baada ya haya mataa mapya kuwekwa.
Naona...
Hivi karibuni baada ya Agizo la Rais kutokuruhusu mabinti wa shule waliopata mimba (wamekuwa tayari wazazi) kuendelea na shule, kumekuwa na malumbano katika kila kona ya nchi na majadiliano makali...
Remmy aliimba "kifo hakina huruma". Hichi kifo ni nini?
Dini na imani mbalimbali zina mambo mengi kuhusu kifo. Zingine zinasema kufa ni kupumzika tu kipindi unasubiri ufufuo, ukishakufa...
Rais wa TFF, Jamal Malinzi hataweza kutetea kiti chake cha urais kwa kuwa amepelekwa mahabusu katika Gereza la Segerea baada ya kukosa dhamana hadi Jumatatu Julai 3 kesi yake itakaposikilizwa...
Kwani kati ya serekali na kampuni ya tigo nani zaidi.Kwa sababu toka walipoambiwa kuliondoa Mara mmoja tangazo la JAZWA UJAZWE kwenye vyombo vyote vya habari mabangona n.k. Lakini mpaka leo bado...
Tabata Kinyerezi ni eneo lililopo Jijini Dar es salaam wilaya ya Ilala,
Kulikuwa na soko eneo la Tabata Kinyerezi, soko hilo lilivunjwa na uongozi wa wilaya ya Ilala mwaka 2004 kwa lengo la...
AKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUWACHOMA MOTO WATOTO WAKE WAWILI NA MJUKUU
Mkazi wa Mtaa wa Kamabarage, Kata ya Igogo, Fatuma Ally (45) akipandishwa kwenye gari la polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za...
Waheshimiwa,
Hivi kuna mtu ambaye anapoingia kutoka nje,
Iwe na international flight anayepata mzigo wake HARAKA bila taabu?
Hivi hao swissport ( wasimamizi waliopewa tenda) wanafanya kazi kwa...
Habari ya asibuhi hii wadau.
Niende kwenye kwenye point.
Nimefanikiwa kutembelea vivutio mbali mbali hapa nchini kwetu ikiwemo mbuga zote za wanyama ,majengo ya zamani ,na water falls ambazo zipo...
Kuna tetesi za ndani kabisa nimezisikia kutoka soko la hisa la dar es salaam (DSE) kwamba wanahisa wake hawatapata gawio mwishoni mwa mwaka wa kiserikali unaoisha mwezi wa sita tarehe 30. Hii ni...
Siku zote na mara zote watu wanaofanya mauaji kama yanayofanywa kule Mkurunga, Kibiti na Rufiji huwa wanaweka madai yao hadharani ili wahususika ndani na nje ya nchi wayajue kama yanavyofanya...
Mgodi wa madini ya Tanzanite uliopo Mererani, wilayani Simanjiro ambao mchimbaji wake, Joel Ephata(34) alinusurika kufa baada ya kuchomwa moto, umefungwa.
Akizungumza na waandishi wa leo...
wakuu heshima kwenu , naomba kuuliza nifanye nini kwaajili mama yangu alieniacha mchanga sana (miezi 3) na bibi yangu alienilea nae alikufa kabla sijawa hata na uwezo wowote, najisikia kuwiwa sana...
Heshima kwenu wakuu,
Wakati shirika la afya Duniani likisema Asilimia 60 ya watanzania kutumia tiba asili, pia katika Sera ya Afya na Ustawi wa Jamii inasema kuwa takribani asilimia 60 ya...
WATOTO 24 waliozaliwa na matatizo ya usikivu (viziwi) watafanyiwa upasuaji wa kupandikizwa vifaa vya usikivu kila mwaka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.