Hivi karibu kumekuwa na uvumi ulipo kwa macho kwa yule binadamu kama wewe kujiita MTUME.. Leo tarehe 18 mwezi huu wa 7.. Bakwata wametoa tamko kali kwa huyo anaye wadanganya watu kuwa yeye ndo...
Kuna mkuu alishawahi weka thread ya kulalamikia ufinyu wa daraja la wami na hatare yake humu...
Nimetoka kupita sasa ivi roli zima zima likiwa na tela lake limevunja kingo za daraja na kutumbukia...
Ushauri wenu wandugu leseni yangu ni class C1,C2,C3 sina C plain kwa ajili ya mabasi ya abilia60 na zaidi.nilianza na Class D baada ya miaka mi3 ndio nikapata class C. NATAKA NIKASOME DRIVING VETA...
HABARI
NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE...
Nikiangali trend au data za bei ya mafuta machafu kwa pipa moja au Crude oil kwa barrel toka mwaka 2008 mpaka leo nilitegemea leo hii bei ya mafuta iwe chini sana.
Mwaka 2008....$ 131
Mwaka...
Chama Cha Wamiliki Na Waendeshaji wa Vituo Vya Mafuta ya Rejareja Tanzania (TAPSOA), Kinapenda kuunga mkono tamko la Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli la 19 Julai 2017 kuwa ndani ya siku 14...
Wakati ulimwengu ukizizima kwa ulimbukeni wa mavazi niliamini watu wengi wataishi watakavyo kuliko wasivyo huenda niliamini hivyo kwakuzani kila mwanadam anafikra huru, kumbe wengine ni watumwa wa...
Husika na mada tajwa hapo juu
Wakuu kuna rafiki angu alipanga nyumba flani ambayo akiishi na wapangaji wanafunzi
Mwenyenyumba kazinguliwa na MTU aliemuachia madaraka ya kusimamia hiyo nyumba...
Nakumbuka pale mzumbe sekondari tulikuwa na shujaa mmoja simtaji jina. Alivuma sana na kupendwa na wanafunzi wote.
Ushuja wake ulitokana na kutoroka shule bila ya kukamatwa. Kubishia walimu. Na...
Wakuu wengine washapigwa
Wengine ndo wanaanza
Wengine wanatafakari
Kuingia kwenye makampuni lukuki ya kutafuta hela mtandaoni
Mengine yanakuja kama kubadilishana fedha na kupata faida na...
Heshima kwenu wakuu,
Kwanza nalipa pongezi jeshi la Polisi kwa kazi kubwa ambayo wanafanya haswa kitengo cha usalama barabarani kwa kazi kubwa mnayofanya.
Pili ningependa kutoa ushauri kwa...
Habari zenu wadau...
Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza.
Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua...
Zinajulikana pia kama kama TV za kichawi, unamuona kabisa mbaya wako live kabisa akifanya ayafanyayo... TV hizi asilia kifaa chake Mara nyingi ni dishi,beseni au bakuli la maji....kupitia humo...
Wasaalam,
Your enemy today can be your savior tomorrow!
Jamani tusambaze upendo pamoja na uzalendo kwa inchi yetu. Wote tunaotawala na tunaotawaliwa.
Hakuna hajuae kesho ila ni Mungu tu. bali...
Pesa zilipofika nyumbani kwake ambapo ni Bank na sio kwenye makaburi wala ghala mahala alikozihifadhia :jarida maarufu linalotoa orodha ya matajiri bora duniani Forbes ,
Mwaka1987 , 1989 na...
Kwa miaka mingi mfumo wa elimu nchini umekuwa ukifanyiwa mapitio na marekebisho yanayolenga kuboresha kutokana na ukweli kwamba haijakidhi matarajio ya wengi.
Ukiangalia matokeo ya kidato cha...
Habari wanaJF,
Naulizia aina ya hili jiwe, linafanana sana na zile gololi wanazochezea watoto, ingawa ni jiwe lililotoka mgodini kabisa.
Naombeni msaada wakuu.
Kutoka Kisutu kesi hadi tar 27/7
Swali tu moja, hivi tangu aanze kushtakiwa Lisu ashaonja segerea?
Wenye kumbukumbu!
Povu ruksa ila iwe sabuni ya magadi.
sweeper
Natazama TBC1 iko live Urambo Tabora rais akihutubia wananchi katika ufunguzi wa barabara ya Kaliua.
Rais amedokeza juu ya mapenzi makubwa kwa wafanyakazi wa nchi hii na kupigania maisha yao...
Nilijifunza kusema kama pia ninavyo jifunza kukua Katika hekima!!
Wakati wa utoto wangu niliamini kila nilichokiona chaweza kuwa changu niliamini hivyo kwa kuwa sikutambua kuwa kunashimo refu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.