Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
Pesa zilipofika nyumbani kwake ambapo ni Bank na sio kwenye makaburi wala ghala mahala alikozihifadhia :jarida maarufu linalotoa orodha ya matajiri bora duniani Forbes ,
Mwaka1987 , 1989 na 1993,Forbes walimtangaza Pablo Emilio Escobar Gaviria a.k.a El Mágico (The Magician) kuwa Billionair nambari saba katika orodha ya ma billionaires 227 wa dunia na yeye alikuwa na utajiri wa US $3 billion ,pesa ikija huwa haijifichi hata wewe ukijificha yenyewe inajionyesha.
Mwaka 1989 aliidhamini timu ya mpira wa miguu ya Atlético Nacional ambayo ipo Medellín, Colombia mji alio kulia na timu hiyo ikashinda kombe la America ya Kusini lijulikanalo kama Copa Libertadores.
Pablo alikuwa ni mtu mwenye akili,mtundu mbunifu na mwenye hila ,roho mbaya na mjeuri hii yote ilitokana na maisha aliyoachagua.
Punda mwitu ni malisho ya Simba na maskini ni malisho ya matajiri:siku zote tajiri anayajua mawazo ya maskini ila maskini hayajui mawazo ya matajiri.
Pablo alitengeneza ukaribu na maskini,akawajengea shule nzuri,viwanja vya michezo na kuwapa huduma zote nzuri za kijamii kwa kiwango kikubwa tofauti na serikali katika mji aliokulia wa Madellin.
Alipoingia kwenye ulingo wa siasa , Pablo Emilio Escobar Gaviria a.k.a El Mágico (The Magician) hakuwa anapiga kampeni bali alikuwa anagawa pesa kwa wananchi wa eneo husika alilostahili kutangaza sera ,yeye alitoa sera na pesa kwa wakati mmoja ,
Kama ujuavyo Fedha ya mtu na moyo wake vinakaa mahali pamoja ,kwa kuwa fedha ina nguvu kuliko moyo wa mtu. Pablo akashinda nafasi ya kisiasa katika mji wa Medellin kisha maskini wakamuita Robin Hood wao.
1985 Pablo Emilio Escobar Gaviria a.k.a El Mágico (The Magician) alikuwa ana kesi za :Uaji,madawa ya kulevya,utekaji na usafirishaji wa madawa ya kulevya katika mahakama kuu ya Colombia katika mji wa Bogota.Ili kumaliza kesi yake alituma kundi la M-19 kuchoma kila nyaraka za mahakama kuu ili kupoteza ushahidi wa makossa yake yote.
Pablo aliwaua majaji Zaidi ya 200,aliua Zaidi ya police 1000 pia aliwaua wagombea nafasi ya uraisi wa Columbia watatu , aliua waandishi wa habari na watangazaji wengi sana .
What goes around comes around, Mwenyezi-Mungu alisema ,’’ El Mágico (The Magician) damu ya watu wangu inalilia kutoka Colombia, 2 December 1993 alipigwa risasi na akafariki akiwa na umri wa miaka 44.
Ben R. Mtobwa amekufa akiniachia maneno haya ,Pesa Zako Zinanuka na ,Pablo Emilio Escobar Gaviria a.k.a El Mágico (The Magician) amekufa akiwa na utajiri wa Pesa Zinazonuka ,mwisho wa siku tunatakiwa kutenda mema sababu tunaacha kila kitu dunia.[HASHTAG]#Pablo[/HASHTAG]
Sent using Jamii Forums mobile app