Tatizo la maaskari wa usalama barabarani

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
689
Reaction score
1,126
Habari zenu wadau...
Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza.

Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua sana.

Nielezee kidogo kero. Wametuwekea utaratibu wa kuwapa rushwa kila siku tsh.... kila kituo walipo hawa askari. Hii haijalishi gari ni bovu au zima, sasa unakuta wilaya moja mf. Misungwi wana vituo vingi sana barabarani. Utalipa nauli zote ulizokusanya kwa hawa jamaa. Usipowapa ndo wanaanza kukagua gari, na lazima wakukute na kosa. Mara hujavaa uniform, mara tairi, kioo kina kreki, tiketi, mkanda n.k takataka kibao. Utalipa kila kosa 30,000. Usipolipa gari inapelekwa kituoni. Shotikati ni rushwa tu

Haliishii hapa, hawa ni askari tu wa barabarani. Ikatokea akaja vehicle, haangalii ushalipa ama bado. Ndo anakagua upya na lazima ulipe. Na tochi walizowapa ni kwa ajili ya ulaji wao na sio kusaidia abiria. Kwa sababu gari zinapunguza spidi wakipeana ishara kuwa kuna tochi.

Waziri wa mambo ya ndani uko wapi? Tunaomba tusaidiwe muweke utaratibu vizuri. Maaskari wanapata pesa nyingi kuliko hata wamiliki wa magari, tuna majukumu mengi na familia tuangalieni. Kama gari ina tatizo... bora itolewe barabarani kuliko kuwatesa watu kiasi hicho. Abiria pia wanaathirika kiasi kikubwa, tunawachelewesha kwenda kwenye kazi zao kwa sababu ya hawa wala rushwa.

Raisi wetu mtukufu tumempa kura atusaidie, tunamwomba kwa misimamo yake tunayoiona atuangalie. Magari mengi ya mkopo tunaumia. Maaskari wa barabarani hawamsaidii kusaidia wananchi, wanakula zao tu. Ukiangalia ndio watumishi pekee wanaojenga nyumba bila shida. Na ndio wanaomiliki magari
 
Hawa ndio wanaongoza kura rushwa nchi hii.

Sasa hivi kwenye mabasi makubwa ya mikoani wanawatumia wale jamaa wanaouza soda, biskuti, mayai n.k, konda anamwita dogo m anayeuza soda na kujifanya anampa hela yake anayomdai kumbe hela inaenda kwa ndugu zetu wa usalama barabarani.

Tunaamini uongozi wa juu kabisa unajua hizi mbinu za hawa jamaa.
 
Shida ipo kwa Kamanda wa kikosi hicho amekosa ubunifu, mara nyingi wadau wa usafiri wa barabara wamekuwa wakisema hapa kuwa hao askari huwekewa viwango vya kuwasilisha kwa wakubwa kila siku, hatujawahi kusikia wakikanusha, nadhani ipo haja ya serikali kuchunguza mali wanazomiliki na kulinganisha na vipato vyao ili kujiridhisha kuwa wamekithiri kwa rushwa, lakini je!? ni kweli serikali imeshindwa kabisa kubuni namna rafiki ya kugagua vyombo vya usafiri mpaka inafikia kuwa na vituo vya ukaguzi kila baada ya Km 2? Kwa mfano pale Morogoro,
  • Ukitoka stand kuu ukaguzi,
  • ukifika karibu na Total filling station Ukaguzi,
  • ukifika Oilcom ukaguzi,
  • 88 napo ukaguzi,
  • Mountfort school ukaguzi,
  • pale kwenye ofisi za mambo ya misitu napo ukaguzi,
  • Kangolira ukaguzi (not sure with spellings)
  • ... mpaka kufika Dar mtu anakuwa amesimamishwa zaidi ya mara 20, je hao askari wote wanakagua nini?
 
Mkuu kama unataka msaada na nn kifanyike bila kuogopa MTU....coz ishakua kero sana kwa madreva na wamiliki wa magar na kwasababu we n miongoni mwa watu walioumizwa n vzur ukaweka waz n kiac gan wanaomba kama rushwa na kituo gani. ...naamini maeneo hayo hiyo tabia itakoma na endelea na sehem zngine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kitu kama ingekuwa kansa basi tungesema imeenea mwili mzima, hawa jamaa nikama wanapewa maboresho ya mafunzo kwa pamoja, kwakuwa tabia zao zinafanana toka sehemu moja ya nchi hadi nyingine
 
Hawa ndio wanaongoza kura rushwa nchi hii.

Sasa hivi kwenye mabasi makubwa ya mikoani wanawatumia wale jamaa wanaouza soda, biskuti, mayai n.k, konda anamwita dogo m anayeuza soda na kujifanya anampa hela yake anayomdai kumbe hela inaenda kwa ndugu zetu wa usalama barabarani.

Tunaamini uongozi wa juu kabisa unajua hizi mbinu za hawa jamaa.

Kazi kwelikweli, hivi viongozi wetu huwa wanayatambua haya au wamejiweka mbali na wananchi, lakini kama serikali ingeamuru viongozi nao wasafiri kwa public transport labda haya mambo yangepungua
 
Hii kero hadi kwa wafanyakazi wa taasisi mbalimbali na serikali. Tunawawahisha kazini lakini wakikuotea hawa wala rushwa.... lawama tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wadau...
Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza.

Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua sana.

Nielezee kidogo kero. Wametuwekea utaratibu wa kuwapa rushwa kila siku tsh.... kila kituo walipo hawa askari. Hii haijalishi gari ni bovu au zima, sasa unakuta wilaya moja mf. Misungwi wana vituo vingi sana barabarani. Utalipa nauli zote ulizokusanya kwa hawa jamaa. Usipowapa ndo wanaanza kukagua gari, na lazima wakukute na kosa. Mara hujavaa uniform, mara tairi, kioo kina kreki, tiketi, mkanda n.k takataka kibao. Utalipa kila kosa 30,000. Usipolipa gari inapelekwa kituoni. Shotikati ni rushwa tu

Raisi wetu mtukufu tumempa kura atusaidie, tunamwomba kwa misimamo yake tunayoiona atuangalie. Magari mengi ya mkopo tunaumia. Maaskari wa barabarani hawamsaidii kusaidia wananchi, wanakula zao tu. Ukiangalia ndio watumishi pekee wanaojenga nyumba bila shida. Na ndio wanaomiliki magari
Ha ha ha ha eti ndo wanajenga peke yao wakati huu.

Mkuu, gari lako lina makosa ndio maana unatozwa faini. Moja ya sababu kwa ninirushwa itaendelea kuwepo ni utayari wa watoa rushwa kushawishi tena kwa kupiga magoti kutoa rushwa. Wakosaji hawako tayari kuhakikisha makosa yao yanakoma, nabaadhi ya makosa kuyarekebisha ni gharama kuliko kulipa faini na ni gharama zaidi kuliko kutoa rushwa.

Naamini wenye magari tukibadirika, na matrafic watabadilika.

Nikujulishe tu, kati ya hela inayoangaliwa kwa macho makubwa ni pesa za notification za polisi, hata Magufuri anapiga mkwara makosa yakiwa pungufu.Sema ukweli, hakuna siku ulishawishi kutoa rushwa lakini askari wakakataa? unadhani kwa nini? Ujue mkuu amempiga mkwara IJP kuwa makusanyo ni kidogo. Na serikali inajua sisi siyo wakamilifu.
 
M
Mkuu kama unataka msaada na nn kifanyike bila kuogopa MTU....coz ishakua kero sana kwa madreva na wamiliki wa magar na kwasababu we n miongoni mwa watu walioumizwa n vzur ukaweka waz n kiac gan wanaomba kama rushwa na kituo gani. ...naamini maeneo hayo hiyo tabia itakoma na endelea na sehem zngine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuhakikishia hawezi sema lolote. Maana gari lake ni bovu, hata aje nani lazima alipishwe faini
 
Habari zenu wadau...
Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza.

Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua sana.

Nielezee kidogo kero. Wametuwekea utaratibu wa kuwapa rushwa kila siku tsh.... kila kituo walipo hawa askari. Hii haijalishi gari ni bovu au zima, sasa unakuta wilaya moja mf. Misungwi wana vituo vingi sana barabarani. Utalipa nauli zote ulizokusanya kwa hawa jamaa. Usipowapa ndo wanaanza kukagua gari, na lazima wakukute na kosa. Mara hujavaa uniform, mara tairi, kioo kina kreki, tiketi, mkanda n.k takataka kibao. Utalipa kila kosa 30,000. Usipolipa gari inapelekwa kituoni. Shotikati ni rushwa tu

Haliishii hapa, hawa ni askari tu wa barabarani. Ikatokea akaja vehicle, haangalii ushalipa ama bado. Ndo anakagua upya na lazima ulipe. Na tochi walizowapa ni kwa ajili ya ulaji wao na sio kusaidia abiria. Kwa sababu gari zinapunguza spidi wakipeana ishara kuwa kuna tochi.

Waziri wa mambo ya ndani uko wapi? Tunaomba tusaidiwe muweke utaratibu vizuri. Maaskari wanapata pesa nyingi kuliko hata wamiliki wa magari, tuna majukumu mengi na familia tuangalieni. Kama gari ina tatizo... bora itolewe barabarani kuliko kuwatesa watu kiasi hicho. Abiria pia wanaathirika kiasi kikubwa, tunawachelewesha kwenda kwenye kazi zao kwa sababu ya hawa wala rushwa.

Raisi wetu mtukufu tumempa kura atusaidie, tunamwomba kwa misimamo yake tunayoiona atuangalie. Magari mengi ya mkopo tunaumia. Maaskari wa barabarani hawamsaidii kusaidia wananchi, wanakula zao tu. Ukiangalia ndio watumishi pekee wanaojenga nyumba bila shida. Na ndio wanaomiliki magari
Naweza kumjibia Mh Mwigulu hapa. Wewe mwenyewe umeonesha ubovu wa gari yako, na ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa ya magari ya abiria hasa dala dala. Nyingi ni mbovu hazifai kwa matumizi ya biria. Kabla ya kuwalaumu trafic tufikirie pia magari yetu. Mfano, gari binafsi kama haina mapungufu mbona huwa hazikamatwi??? Nadhani acha trafic waendelee na kazi zao
 
Huu ndo ukweli. Nakudhihirisha siyo msafi, ameshindwa kuwataja hao askari basi hata kusema nieneo lipi. Maana hata wakibadilishwa wakaletwa wengine, makosa yake hayuko tayari kuyarekebisha, na kamfumo ka rushwa yeye ndo anakaendeleza
 
Naweza kumjibia Mh Mwigulu hapa. Wewe mwenyewe umeonesha ubovu wa gari yako, na ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa ya magari ya abiria hasa dala dala. Nyingi ni mbovu hazifai kwa matumizi ya biria. Kabla ya kuwalaumu trafic tufikirie pia magari yetu. Mfano, gari binafsi kama haina mapungufu mbona huwa hazikamatwi??? Nadhani acha trafic waendelee na kazi zao
Kama gari yangu ina matatizo watuambia tuondoe barabarani mpaka turekebishe. Kwani kurekebisha kuna tatizo? Ishu ni kuwa wanataka gari mbovu ziwepo ili wapate ulaji. Licha ya hilo hata zile ambazo ni nzima wanakomaa nazo vitu vidogovidogo. Ukiwa mbishi wanakuacha siku ukiingia anga zao utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom