Matamko ya upandishwaji wa madaraja kwa watumishi wa umma

Makolate

Member
Jul 3, 2017
12
9
HABARI
NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE, HAKIKA NI MAUMIVU MAKUBWA SABABU ILISHAZOELEKA KUPANDA NI SALARY YA JULY
TUMEWASIKIA VIONGOZI WETU AKIWEMO WAZIRI WA UTUMISHI NA MHE RAIS WETU MAGUFULI KUWA ATAWAPANDISHA MADARAJA WANAOSTAHILI MWAKA HUU.
OMBI LANGU KWA MHE. RAIS WETU TUNAOMBA UWAPE MAELEKEZO UTUMISHI NI MWEZI GANI HASWA WATUMISHI WATAPANDA MADARAJA , NI HERI KUJUA MWEZI HALISI ANGALAU ITAPUNGUZA MAKALI. TUNAKUOMBA BABA USIKIE KILIO CHETU WATUMISHI WA UMMA
MWISHO NAPENDA KUMHAKIKISHIA MHE. RAIS NA WANANCHI KIUJUMLA SISI WATUMISHI TUNAENDELEA KUCHAPA KAZI KWA MOYO WA UZALENDO KABISA NA KULITUMIKIA TAIFA KWA NAMNA YA PEKEE

ASANTENI.
 
Acha kujipendekeza, fanya maamuzi magumu wewe.
 
Du! Umeandika kwa unyenyekevu na nidhamu kubwa,kama kweli ni msikivu atakusikia. Kauli za kusema kama unaona mshahara mdogo acha kazi si za kiungwana. Hili ni taifa letu. Serikali ina wajibu wa kujirekebisha.
 
HABARI
NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE, HAKIKA NI MAUMIVU MAKUBWA SABABU ILISHAZOELEKA KUPANDA NI SALARY YA JULY
TUMEWASIKIA VIONGOZI WETU AKIWEMO WAZIRI WA UTUMISHI NA MHE RAIS WETU MAGUFULI KUWA ATAWAPANDISHA MADARAJA WANAOSTAHILI MWAKA HUU.
OMBI LANGU KWA MHE. RAIS WETU TUNAOMBA UWAPE MAELEKEZO UTUMISHI NI MWEZI GANI HASWA WATUMISHI WATAPANDA MADARAJA , NI HERI KUJUA MWEZI HALISI ANGALAU ITAPUNGUZA MAKALI. TUNAKUOMBA BABA USIKIE KILIO CHETU WATUMISHI WA UMMA
MWISHO NAPENDA KUMHAKIKISHIA MHE. RAIS NA WANANCHI KIUJUMLA SISI WATUMISHI TUNAENDELEA KUCHAPA KAZI KWA MOYO WA UZALENDO KABISA NA KULITUMIKIA TAIFA KWA NAMNA YA PEKEE

ASANTENI.
Umechanganya taarifa kwa uelewa wangu kuna hili la annual increament ambalo ni la kisheria kwa mujibu wa mikataba yetu ya ajira kwa kila mtumishi hili halipaswi kuwa na mjadala kwa sababu ni la kisheria na kuna suala la upandaji wa vyeo ambalo lipo pia kisheria lakini c wote watapanda bali kuna wale tu ambao walishapanda wakanyang'anywa na pia wale wa apendekezo mapya wote wanapaswa kupandishwa na pia kulipwa malimbikizo yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiongeze mkuu kwa mishe mishe, hizo ni kejeli tu za watawala kwa watumishi wa umma, please mwenye picha ya muhenga aliyesema "aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa" aiupload hapa kwa niaba.
 
0493159546a0ac140935dd09a5e2a24d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“ You at this time can only be destroyed by yourselves, from within and not from without. You have reached the point where the victory is to be won from within and can only be lost from within.

Pazeni sauti,daini haki zenu msikae kimya.

Tume huru idaiwe mapema ccm itoke vinginevyo watanzania mtapata tabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom