bartaizo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 236
- 91
Nilijifunza kusema kama pia ninavyo jifunza kukua Katika hekima!!
Wakati wa utoto wangu niliamini kila nilichokiona chaweza kuwa changu niliamini hivyo kwa kuwa sikutambua kuwa kunashimo refu baina ya nisivyo navyo na nilivyo navyo! Dhana hii ilianza kukoma pale nilipoanza kukua Katika elimu ya kidunia.
Nikaona ilivyo vigumu hapana kuwa ndiyo niliamini duniani ni pahara pa kufikirika siwezi tena kuwa kiumbe ninayetaka niwe labda kwa kuwa nilipuuza nilivyo navyo ili niwe na nisivyo navyo na kusahau kuwa kwa kufanya hivyo nitapoteza nilonavyo labda utoto ulikuwa mwingi kushinda fikra zangu lakini Leo nimekua nakwambia [green]Daima jivunie ulonavyo kuliko usivyo navyo[/green]
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.