mkanda tumboni
Member
- Jun 7, 2017
- 94
- 149
Ushauri wenu wandugu leseni yangu ni class C1,C2,C3 sina C plain kwa ajili ya mabasi ya abilia60 na zaidi.nilianza na Class D baada ya miaka mi3 ndio nikapata class C. NATAKA NIKASOME DRIVING VETA NIPATE CHETI haitakua tatizo?gari zote naendesha vizuri