kwenzi
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 669
- 667
Kuna mkuu alishawahi weka thread ya kulalamikia ufinyu wa daraja la wami na hatare yake humu...
Nimetoka kupita sasa ivi roli zima zima likiwa na tela lake limevunja kingo za daraja na kutumbukia mtoni..
Wahusika jengeni daraja kubwa ,ni aibu mpaka sasa daraja linalo beba mabus makubwa ya ndani na nje ya nchi kupita kwenye kanjia kamoja yani hata vitz haitosh...
Au mnataka watu wafe wengi ndio mjenge...
Tusiwe nchi ya matukio ni wakati wa vitendo sasa
Sent using Jamii Forums mobile app