Adui yako leo anaweza kuwa mwokozi wako kesho

Jan 27, 2015
50
70
Wasaalam,
Your enemy today can be your savior tomorrow!
Jamani tusambaze upendo pamoja na uzalendo kwa inchi yetu. Wote tunaotawala na tunaotawaliwa.

Hakuna hajuae kesho ila ni Mungu tu. bali sisi wanadamu tunajua leo na jana.

Mfn. watu kama akina Diallo, Magesa etc, na akina Lowasa, Dr. Sila, hawakujua hatima yao! ila kwa nguvu ya pesa, uongozi, ufuasi waliona kesho kwa macho ya kibinadamu. Jiulize kesho yako itakuaje?

Tuipende inchi yetu, Mkuu wa nchi afanye kazi na tumpe support yote ili mwisho asilalamike kuwa tulimkwamisha.

Sambaza uzalendo na upendo.
Asanteni!
 
Don't trust politicians aiseh they seldom lie upon their names.
Yaani kuwa mwanasiasa nje hizi zisizoendelea unajidedicate kwenye uongo
 
Back
Top Bottom