Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Salama wakuu!! Niende moja kwa moja kwenye maada, wanaJf weekend iliyopita nilikuwa/nilitembelea wilaya fulani maarufu kanda ya ziwa na Tz kwa ujumla na nilijaribu kuingia mitaa ya ndani ndani...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Mi nina interest na mambo ya aviation na ningependa one day tuwe na shirika kubwa sana la ndege.nimefurahi Dash 8 Q400 ya tatu imeanza kuruka kwa majaribio.Inshallah mwezi ujao au wa tisa itakuwa...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Msaada mniambie jeshi la police mtatangaza lini nafasi za kujiunga na jeshi hili? Pia nna ushauri acheni kuchukua vijana fresh from school huku kitaa wamejaa vijana kibao wenye nguvu,akili,maarifa...
1 Reactions
6 Replies
911 Views
Ni miezi miwili sasa bei ya sukari haikamatiki lakini watu kimyaa huku serikali iko bize kukamata wachochezi inasahau mfumko wa bei ni mchochezi hatari zaidi ya kina Lissu ,maisha yanazidi kuwa...
13 Reactions
115 Replies
8K Views
Siku hizi Hali imechenji Sana.Inazidi kuwa vigumu kulea watoto.Wazazi wanawasiwasi kukaa sebuleni Kutazama TV na watoto. Asilimia kubwa ya nyimbo wasichana wanavaa nguo za ndani tu Tena nyimbo za...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kenya and Tanzania have ended their long-running trade hostilities and lifted restrictions on some products. Among the products that had heightened the animosity between the two countries in the...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Tazama video hii SIRRO akitoa Maelekezo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Habari za jioni Wapendwa Kuna hii kitu inaitwa Terms And Conditions au kwa kimombo ni Vigezo na masharti. Napenda kujua ni wangapi huwa tunasoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Hapa chini...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wahenga walipata kusema "usilo lijua litakusumbua" Acacia hamkujua kuwa watanzania walipata kuambiwa toka awali kuwa "mkataa kwao ni mtumwa" japo si wote huikataa Tanzania mkajijengea imani kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu anapenda sana kujiunga na jeshi la polisi au magereza. Lakini anapenda afanye hivyo baada ya kuhitimu chuo kikuu. Anataka asome Bachelor of Law Enforcement ya chuo kikuu cha...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Katika hali si ya kawaida nimetumiwa hela na Vodacom! Zaidi ya elfu hamsini kama faida. Sasa sijui wamekosea ! nipeni uzoefu wa hii mitandao..
0 Reactions
156 Replies
27K Views
Hakuna kazi inayofundisha kuwa mvumilivu kama kilimo. Kuna wakati waajiriwa wanapokea mpaka mishahara 12 na wewe hakijakulipa bado. Ila imeripotiwa the next generation of billionaires itahusu...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba Msaada tutani wana JF, kuna hiki kichwa cha habari cha Moja ya magazeti yetu kisemacho "Uhalifu umepungua nchini, ubakaji umeongezeka!" Hivi ubakaji si uhalifu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Njombe ndio inaongoza kwa kuwa na viwango vikubwa sana vya watu walioathirika na Ukimwi, huku Pemba ikiwa ni ya mwisho kabisa katika mikoa ya Tanzania. Mikoa Mingine yenye viwango vikubwa vya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu habar zenu.. Naitaji huduma ya kuchimbiwa kisima kirefu cha maji. Mwenye kujua kampuni zinazotoa huduma hii naomba anijuze tafadhari Niko dar Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi binafsi ningempumzisha huyu Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kampuni ya udalali ya Yono inatarajia kupiga mnada Jengo la gorofa 7 la Abla Complex lililopo Mikocheni Dar es Salaam August 12 2017 kutokana na Mmiliki kushindwa kulipa mkopo anaodaiwa na KCB...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi, kwa mwezi huu wote nimekuwa bega kwa bega sana na kupitia FORUMS za Jamiiforums na kuangalia maada mbali mbali zilizojadiliwa, maoni ya watu kwa maada husika, mchango wa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Napenda kujuzwa wakuu, inakuwaje kunakuwa na tofauti ya ngazi ya mshahara baina ya Kada moja na nyingine ili hali ngazi ya Elimu inafanana, mfano Mhitimu wa ngazi ya Diploma fani ya...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom