Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni hivi nilinunua kifurushi cha mwezi cha 10,000 ambacho nilipewa dk 139 za kupiga sasa wakanipa bonus yao ya tsh 5000 ambayo itadumu kwa siku moja. Sasa interesting part ni kuwa ukipiga simu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Kutokana na hali ya ajira kwa walimu wa masomo ya sanaa hapa nchini kuwa tete, nimejaribu kufikiria kwenda nchi za jirani kwenda kutafuta fursa za ajira huko Nimemaliza tangu 2015 miaka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Leo Waziri Wa Mambo ya Nje na Uashirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb) ametangaza rasmi na kufafanua upya juu ya ufanyaji wa biashara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Idara ya maji mkoa wa Mwanza, wilaya ya Nyamagana kuna jipu kubwa pale. Maji mwezi mzima sasa hayatoki hasa kwa wakazi wa Shamaliwa kata ya Igoma. Tuko karibu na chanzo cha maji na hali ndo iko...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zilizotufikia hivi punde katika chumba cha habari cha Malunde1 blog ni kwamba mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa mwaka mmoja amefariki dunia papo hapo baada ya kukanyagwa na gari...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi karibuni mhe. Rais alizindua viwanda kadhaa ktk mkoa wa pwani na kuupongeza ungozi wa mkoa huo kwa kutekeleza vyema sera ya ujenzi wa viwanda,zaidi ya viwanda 300 vimejengwa ktk mkoa huo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mara nyingi tumeona watanzania wengi ukigusia suala la hela mtu anaanza kulialia kuwa hana hela sasa najiuliza tatizo kubwa la jibu hili ni nini? Au ndo kukariri?
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hivi kma unataka kwenda Congo Goma ni njia ipi ni rahisii kutumia kwa usafir wa buss? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kunaa vijana wamekuwa wakishinda pembeni ya vibanda vya polisi. Vijana hawa wengine hujiita wa manispaa wengine wanajiita madalali kazi yao kuu kusumbua magari ya watu. Kumekuwa na kero na aibu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya kutowawekea vikwazo wataalamu wa tiba asili na mbadala ili waweze kujisajili na kutambulika kisheria. Mwalimu ameyasama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hata kama mwanasiasa afanye nini lakini kama hatabuni mbinu ya kuwafanya wananchi wamudu kula milo mitatu kwa siku bado kazi itakuwa kubwa sana kwake 2020. Chakula lazima kitangulie mambo...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwenyewe huko Argentina wamesema kamezaliwa na uso wa shetani "demon face" kalikufa baada ya masaa 3 kuzaliwa
2 Reactions
90 Replies
17K Views
Kuanzia asubuhi hizo channel mlizojiunga nazo hazitoi sauti ni distortion tuu. Anyway tarehe 27 yaani Alhamisi si ndo mnapigwa mnada rasmi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimevutiwa sana na Uzalendo huu ambao wananchi wameuonyesha mbele ya viongozi wao wakuu Wa nchi hii . Nimefuatilia mikutano ya hadhara iliyofanywa na waziri mkuu, Kule mtwara na...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
sangujoseph
Na Sangu Joseph Kuna wakati unafika unaweza ukajikuta unatengwa Na JAMII inayokuzunguka wakiamini kwamba haukua sahihi katika baadhi ya maamuzi uliyoyafanya ambayo yalikua tofauti Na mitazamo ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
AKIWA MUSOMA LEO: Amesema wasiovaa kofia ngumu (helmet) hakuna faini ya elfu 30, bali watapelekwa mahakamani na kunyimwa dhamana, wafungwe wiki mbili wakirudi wakome. Ina maana: 1. Polisi...
10 Reactions
91 Replies
7K Views
Mkuu wa mkoa wa Tanga ameagiza mkandarasi aliyejenga bwawa la kijiji cha Mkata wilayani Handeni mkoani Tanga arejeshe fedha baada ya bwawa alilolijenga kubomolewa na maji kutokana na bwawa hilo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyo ni Pierre Nkurunzinza ama Joseph Kabila wa Kongo?
4 Reactions
43 Replies
8K Views
Tofauti na washiriki na washindi wa mashindano ya urembo katika mataifa mengine duniani, hapa Tanzania iko dhana potofu miongoni wa washiriki,waandaaji na hata mamlaka za usiamizi, kuwa ushiriki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Duh maisha ya bongo bora kuna kucha maana kila siku vululuvululu. Kila MTU na tamko lake... Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Back
Top Bottom