Natazama TBC1 iko live Urambo Tabora rais akihutubia wananchi katika ufunguzi wa barabara ya Kaliua.
Rais amedokeza juu ya mapenzi makubwa kwa wafanyakazi wa nchi hii na kupigania maisha yao...
Nilijifunza kusema kama pia ninavyo jifunza kukua Katika hekima!!
Wakati wa utoto wangu niliamini kila nilichokiona chaweza kuwa changu niliamini hivyo kwa kuwa sikutambua kuwa kunashimo refu...
Ni dhahiri sasa na muda muafaka serikali kuanza zoezi la kupima mikojo ya watumishi wote wa umma nchini, watumishi wa umma ndio kioo cha jamii kutokana na kanuni za utumishi wa umma nchini, ili...
Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo...
Imani yangu ni kuwa kuna siku Tanzania itajengwa na watu kutoka nchi jirani za Est Africa kama Kenya na zingine kama ilivyo Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
HABARI
NI MUDA SASA WATUMISHI WA UMMA WANAOSTAHILI KUPANDISHWA VYEO WANASUBIRI KWA HAMU. WENGI WALIJIPA MOYO MWEZI HUU WA SABA MAMBO LABDA YATASOMA LAKINI HAMAD MWEZI UMEFIKA SALARY IPO VILEVILE...
Linapokuja swala la mafanikio zipo sifa na mambo mengi ambayo yanakuwa yanatajwa katika kumfikisha mtu ili aweze kufanikiwa. Mambo au sifa hizo huwa ni za msingi sana kwa kila mtu ili kufikia...
Katika maajabu mengi ni watu kutamani kuwa na vile wasivyo navyo siku moja nilitembelea kijiweni, niliwaona wasio onekana wakasema "wajua Tanzania ingalikuwa tajiri kama America"!? Uongozi wetu...
Hongera waziri mkuu kwa hatua uliyochukua ya kupiga marufuku viroba.
Vijana mtaani sasa wananawiri wananenepa wakati zamani muda wote walikuwa wembamba na wananuka pombe wakiongea ni matusi tu...
THE Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) has announced its intention to establish a plant to manufacture telephone and related gadgetry locally. The firm announced its plans at a...
Habari zenu viongozi, wakuu nina dukuduku la muda mrefu sana,mimi ni raia ambae kwa sasa nimehamasika sana kulipa kodi na pia nimehamasika kudai risiti ya TRA ktk kila bidhaa/huduma ninayopata...
INCREMENTS
E.8 General:
An increment is an increase of salary within salary scales in which the prescribed amount which is granted annually to holder of posts on incremental scales of salary until...
Dar es Salaam. Msemaji wa Jeshi la Polisi, kamishina msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, amesema hali ya usalama katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji imeimarika sana na...
Watu wawili waliyojitambulisha kuwa ni waganga wa jadi wanadaiwa kumbaka binti wa miaka 17, huko mkoani Lindi na kutoweka, wazazi wa binti huyo wanaomba kubaini sababu ya kitendo hicho. Tazama...
wadau leo naileta kwenu hii hadithi ya kusisimua,
>>>>>>>>>>
Wazazi wangu walikuwa na kila kitu na ikiwemo migodi ya dhahabu, zoo, na kila aina ya utajiri, wakti huu nilikuwa namaliza chuo...
WAKUU, MI NIMEAMUA KUMRUDIA MUNGU WANGU.AMEKUWA FAIR SANA KWANGU,ALAFU NAWAZA KAMA NIKIFA SA HIVI NITAKUWA NA NINI CHA KUJITETEA.
KUNA MAISHA BAADA YA DUNIA
BORA NIMRUDIE MWENYEZI
KUMEKUWA na malalamiko mengi juu ya ukosefu wa ajira katika jamii yetu siku hizi. Hata hivyo, malalamiko haya huishia katika kuwaelekeza hao wasio na ajira kujiajiri. Kwa upande mwingine kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.