Rais JPM Urambo 23/7/2017: Mwaka huu tutaongeza mishahara

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,669
Reaction score
140,300
Natazama TBC1 iko live Urambo Tabora rais akihutubia wananchi katika ufunguzi wa barabara ya Kaliua.

Rais amedokeza juu ya mapenzi makubwa kwa wafanyakazi wa nchi hii na kupigania maisha yao. Amesema mwaka huu wa fedha ataongeza mshahara na kupandisha madaraja kwa wanaostahili. Rais pia amesema serikali imepunguza kodi PAYE kutoka 11% mpaka 9%

My Take
Nyongeza oyeeeeeee
PAYE Oyeeeeeeee
 
Bunge linakaa tena mwezi ujao nini? rais Wa wadanganyika hadi yeye anaongea uongo Wa kujidanganya labda kwa kuwa yeye ni ule mhimili ulioenda chini zaidi ktk mihimili mitatu.
 
Nani alikuambia mshahara unaongezwa mwezi July tu. Kuna watu wanaongezewa mshahara hata January. Ndo maana kuna kitu kinaitwa arrears!
 
Natazama TBC1 iko live Urambo Tabora rais akihutubia wananchi katika ufunguzi wa barabara ya Kaliua.

Rais amedokeza juu ya mapenzi makubwa kwa wafanyakazi wa nchi hii na kupigania maisha yao. Amesema mwaka huu wa fedha ataongeza mshahara na kupandisha madaraja kwa wanaostahili. Rais pia amesema serikali imepunguza kodi PAYE kutoka 11% mpaka 9%

My Take
Nyongeza oyeeeeeee
PAYE Oyeeeeeeee
Bajeti imepitishwa haina nyongeza ya mishahara, pesa anaziokota wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakusema kuwa ataongeza mishahara bali amesema kuwa watapandisha madaraja kwa wanaostahili. . Sasa we mtoa mada sijui ulikua unamsikiliza Mhe. Rais kupitia chombo gan cha mawasiliano au masikio yako yana otitis media? ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom