Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,870
- 2,122
Habari wanaJF,
Naulizia aina ya hili jiwe, linafanana sana na zile gololi wanazochezea watoto, ingawa ni jiwe lililotoka mgodini kabisa.
Naombeni msaada wakuu.