Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sayansi ya utambuzi na ufahamu wa mwili kwa maana ya conscious mind inatumbia kuwa mwili una uwezo wa kujilinda na mashambulizi yote kutoka nje ya ufahamu wake tafiti nyingi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo tarehe 1 August 2017 katika kipindi chao cha Clouds 360 wametumia muda mwingi kuwashambulia Chadema kwa kudai wanawatetea wezi Acacia. Baada ya kusoma kichwa cha habari cha gazeti la Uhuru...
9 Reactions
57 Replies
6K Views
mume wake alipata mwanamke Uarabuni sasa akawa anaitwa na watoto aunt Edith, akawaambia hyo sio sio Edith aunt wao sasa akafuatilia huyo EDith ni nani, akapekua simu ya mumewe na kuona jina la...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
USILOLIJUA LITAKUSUMBUA By Charles Mwijage Waziri wa viwanda Taifa letu linapambana kuingia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 au kabla ya hapo. Hayo yako kwenye dira ya taifa 2025, Ilani ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naombeni kujua kama kuna chochote kimesha amuliwa had sasa kwenye hayo maongezi na hii team ya Barrick? Naona kimya sana,kama ambae ni jinai sisi kujua kinacho endelea nchini kwetu baina ya...
1 Reactions
4 Replies
995 Views
Wanabodi, moja ya mambo ambayo wananchi hasa watumishi wa umma wanayoyatarajia raisi kuyaongelea siku ya wafanyakazi ni haya yafuatayo: 1. Kutolea ufafanuzi suala la watumishi kupitia kozi maalum...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hali ni tete kwa watumishi wote darasa la saba ambao waliajiriwa kuanzia 2004. Watumishi ambao walikuwa bado awajajiendeleza na elimu ya kidato cha nne mwezi huu wameondolewa rasmi kwenye payroll...
9 Reactions
71 Replies
21K Views
High-tech Sai inatoa huduma za matibabu na vipimo vya afya kwa bei ya juu sana. WaPo mita 400 tu toka TAKUKURU makao makuu na mita 4000 tu toka TRA Makao makuu. Nimelipa amount hiyo na kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu Nitoe pongezi nyingi kwa jeshi letu la polisi likiongozwa na IGP Sirro kufanikisha kuyazima kabisa mauaji ya kutumia risasi yaliyoibukia huko Pwani kwa wilaya za mkuranga, kibiti na rufiji...
4 Reactions
50 Replies
6K Views
Anaejua jinsi ya kupata free viza kwa mfano nchi kama qatar. Na gharama yake anielimishe Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
782 Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe apigia Chapuo Tanzania kuharakisha matumizi ya mbegu za Uhandisi Jeni (GMO) hapa nchini. Aidha, amepongeza watafiti...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Zoezi la uzikaji limeendelea kuwa gumu hivi sasa baada ya baadhi ya sehemu zilizoaminiwa kuzikia watu kujaa. Dar imejaa, ndivyo wanavyosema wananchi wa Dar Kiukweli hata ukienda Kinondoni leo...
1 Reactions
51 Replies
6K Views
Imeji post mara mbili. Sorry guys
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Ningependa kuwasilisha hili Ndugu zangu ni mara nyingi naona wenzangu wengi wakimkosoa mkuu wa nchi humu JF na kwengineko ambalo si vibaya kama unamkosoa kwa utaratibu wa nchi. Ila wengi wa hao...
0 Reactions
9 Replies
905 Views
jimbo la Ubungo serikali ilitoa hela wananchi wachimbiwe kisima cha maji, kwa vile Mkiti wa mtaa ni chadema kajichimbia nyumbani kwake na kujiunganishia yeye tu! then anawauzia wananchi, na mradi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Huyu kaka namkubali sana hakika anaweza sio siri. Hongereni ITV kwa watangazaji wanaojielewa. Yupo vizuri akiwa mubashara kwenye matukio na pia kwenye mahojiano na pia ni mtangazaji ambaye...
5 Reactions
44 Replies
11K Views
Mbunge wa jimbo la kawe Mh Halima Mdee amesema Genetic Modification ni sumu na haina tija kwa wakulima wa Tanzania, zaidi itaongeza umaskini. Mh Mdee ameyasema hayo wakati akichangia muswada wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kama na nyie mmekumbana nayo yaani mi sijaipenda kabisa,mtu uko bize unapigiwa simu unapokea halafu unakumbana na swali hilo.wakati huo labda huna namb a yake .acheni hizo
0 Reactions
2 Replies
751 Views
hii dhana kuwa kila mtu huwa anaasilimia flani ya ukichaa ni kweli? kuna dhana nyingine kuwa kuna wakati sisi wanadamu wenye akili timamu huwa akili zinaturuka na kuwa kama vichaa ila baadae...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana jukwaa. Hii habari imenisikitisha sana na imenikera sana kwa jinsi polisi wanavyolazimisha kuwapa watu makosa ili hali ni raia mwema tu. Niende kwenye mkasa ambao...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom