Kuna update zozote kuhusu ujio wa hawa "wanaume"

Kuna update zozote kuhusu ujio wa hawa "wanaume"

realoctopus

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,232
Reaction score
1,985
Wadau naombeni kujua kama kuna chochote kimesha amuliwa had sasa kwenye hayo maongezi na hii team ya Barrick?
Naona kimya sana,kama ambae ni jinai sisi kujua kinacho endelea nchini kwetu baina ya wageni na wenzetu.
Ni vyema walau hata kwa ufupi tuu tujue nini kinaendelea,kama kuna kutokuelewana basi wananchi tuongeze nguvu ili watuelewe.
 
Lengo la kuuliza ni kuwa tusije tukasahau tunawageni humu,wakaishia kimya kimya Noah zika yeyuka.
 
Swali zuri.

Lakini kumbuka hiyo ni siri kali sana.

Tuombe mungu tulipewe japo 10% tu ya pesa tunazodai
 
Lengo la kuuliza ni kuwa tusije tukasahau tunawageni humu,wakaishia kimya kimya Noah zika yeyuka.
tumefanya upembuzi yakinifu tukagundua wengi wenu hamna maeneo rafiki ya maegesho/parking maana wengi sana bado ni wapangaji na hakuna barabara za kuifikisha nyumani salama. mtapaki wapi hali jirani naye atakuwa na ya kwake!!!
 
Back
Top Bottom