Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,517
- 860,567
Sayansi ya utambuzi na ufahamu wa mwili kwa maana ya conscious mind inatumbia kuwa mwili una uwezo wa kujilinda na mashambulizi yote kutoka nje ya ufahamu wake tafiti nyingi zilizofanyika kuhusu laana na kulaaniwa zimekuja na majibu yenye maswali mengi pia baadhi ya maswali hayo ni 1.je kuna uhusiano gani kati ya mlaani na mlaaniwa? 2. Je laana yaweza kudhuru kwa jambo la uongo? 3.je waweza kulaaniwa na mtu baki na ukalaanika? 4. Je jambo la kweli lina kichocheo gani kweye kulaani na laana ikakubali? 5. Je watu wawili wanaweza kulaaniana? 6. Je laana ninini? Karibuni tujadili