Hali imekua tete mtaani
commred Chichimizi
Mitaani hali ya kiuchumi si shwari kabisa.....maisha yamekua magumu kiasi.....kodi inakusanywa vzr kabisa lakini baada ya kukusanywa hairudi au...
Wakuu naomba kujua majina ya wajumbe wanaoiwakilisha Tanzania katika majadiriano na Barick /,Accasia juu ya makinikia make mkutano umeanza leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kujulisha umma wa watz kwamba kama wewe una-skill zozote ambazo umesomea au unazo. Unaweza kujiari kama freelancer kufanyia watu kazi online.
Kuna you website kama www.Upwork.com na...
Leo hii kuna Noah imejaa vijana wana vikoti vya reflector wamepita mtaani na kukamata mtu aliyepaki gari kisa hajawasha taa za hazard. Ajabu walikuwa na askari mwenye bunduki ndani ya noah yao...
Uhamiaji watoa pasipoti kinyemela
Idara ya Uhamiaji imeanza uchunguzi kuwapata watumishi wake walioshiriki kumpa hati ya kusafiria, Mkurugenzi wa shirika lisilo la serikali (NGO) la Pastoral...
Mtakumbuka hivi majuzi yalitoleea matokeo ya utafiti ambao matokeo yake yalibainisha kwamba takribani 33% ya wanaume mkoani Dar Es Salaam wanakabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume...
Habari wana JF,
Mwezi wa 6 nilijaza fomu bank fulani kuomba mkopo wa biashara. Nimekamilisha vigezo vyote ikiwemo hati ya nyumba lakini kimya nikiuliza wanasema eti mtandao sijui visasi mana...
Mtu una schengen visa ya short-stay 90 days unataka kuvuka border ndani ya schengen area labda kutoka Italy to Germany.
Je kipi kinahitajika tena au utapita tu bila tatizo lolote? Naomba...
Kwa miaka mingi sana watoto wanaosoma shule za Msingi za Tanzania ( Kayumba ) , wamekuwa wakivalishwa sare mbaya na isiyopendeza ambayo ni shati jeupe na kaptula ya bluu.
Uchunguzi wangu...
Mzee mmoja anayejulikana kwa jina la Yohana Mkwera mkazi wa wilaya ya Ludewa, alishangaza jamii inayomzunguka huku mwenyewe akipigwa na butwaa, baada ya kuamka asubuhi na kukuta miguu yake ikiwa...
Mzee amepambana kumleta mtoto shule ili a some by any means
Kwa tuliokulia kijijini ukute dogo alikua kakimbia kijijini kajificha kwa babu na bibi dingi kaenda kumuibua kama makenikia
Mzee...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora Dk. Thea Ntara amewataka wanawake wajasiriamali mkoani humo kuchangamkia fursa mbalimbali za mikopo zinazotolewa na serikali ili kuweza kuwasaidia kujikwamua...
Baraza la Habari Tanzania (MCT) imeliagiza gazeti la Tanzania Daima kuomba radhi kwa Mkuu wa wilaya ya Ludewa Andrea Tsere kwa kosa la kuchapisha taarifa zisizo sahihi.
Tareh 5 December mwaka...
Hellow JF,
Mnaendeleaje na pilika za maisha za kujenga taifa letu..nlikuwa naomba msaada wa kujua kama dereva unapokamatwa na traffic kipi kinachoanza baina ya askari kukuambia utoe...
Serikali imetangaza kuwaondoa kazini watumishi wote wa umma wenye elimu ya msingi (darasa la 7). Kigezo cha elimu cha chini kwa mtumishi wa umma kilichotangazwa na serikali ni angalau elimu ya...
Unajua kuna watu wakidharauliwa huwa wanachukia sana na kuumia. Wengine wanaweza wakapata hadi pressure, lakini unasahau ya kuwa thamani yako unayo wewe mwenyewe sio mtu anayekuzunguka. Wewe ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.