Sam Mahela ni bonge la mtangazaji Tanzania

Sam Mahela ni bonge la mtangazaji Tanzania

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
Huyu kaka namkubali sana hakika anaweza sio siri. Hongereni ITV kwa watangazaji wanaojielewa.

DSC_9165.JPG


Yupo vizuri akiwa mubashara kwenye matukio na pia kwenye mahojiano
na pia ni mtangazaji ambaye huwezi kuchoka kumsikiliza au kumtazama.

Big up sana Sam, kamatia hapohapo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sam Mahela alianza kunivutia alipokua kwenye campaign za uchaguzi watu wanampenda balaa hasa kwenye vibanda vya kahawa mikogo yake na bashasha za manjonjo vinawakosha sana watu.
 
Vipi na yule jamaa anayetangaza zamadam na dini ya kikristo tbc Anaitwa someone Makerubi ata nae ananikosha sana anavyotangaza


nakumbuka wakati nina mimba nilikua nikimskia achilia mbali kumuona NATAPIKA had naishiwa ngv!mpk leo simpend na nina miaka km 6 sijamuangalia kwa tbccm yao !pyeee
 
nakumbuka wakati nina mimba nilikua nikimskia achilia mbali kumuona NATAPIKA had naishiwa ngv!mpk leo simpend na nina miaka km 6 sijamuangalia kwa tbccm yao !pyeee
Tbc hata mimi siifagili lakini yule jamaa nikipata Bahati ya kukutana nae kwenye pitapita zangu huwa ananiburudisha sana.
 
Tbc hata mimi siifagili lakini yule jamaa nikipata Bahati ya kukutana nae kwenye pitapita zangu huwa ananiburudisha sana.



anaongea kama sio mwanaume bwana!mara apige magoti yelewiiiiii!
 
mwangalie akiwa anatangaza dini! arghhh na kile kisauti chake arghhhhhhhhhh
Mimba yako haikumkubali tu ila kama unataka different flavors yule ndio fundi sasa sababu presenters wengine wanaigana tu, mtu kama Renfred Masako na yule Marato wa Mara Dah huwa sichoki kuwasikia japo Masako simsikii tena siku hizi
 
Back
Top Bottom