Madudu CHADEMA Ubungo: M/kiti ajichimbia kisima nyumbani kwake, awauzia wananchi maji

mmh

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,910
5,081
jimbo la Ubungo serikali ilitoa hela wananchi wachimbiwe kisima cha maji, kwa vile Mkiti wa mtaa ni chadema kajichimbia nyumbani kwake na kujiunganishia yeye tu! then anawauzia wananchi, na mradi kauita eti maji ya chadema, Hawa watu ni shida

nawauliza great thinkers je nimtaje huyo mheshimiwa?

update1:
mtaa maduka matatu - Bonyokwa also Golani.

update1:
mwenyekiti wa mtaa ni maarufu anajulikana kama baba faraji.

update3;
hilo eneo napo ni maarufu linajulikana kama kijiwe cha chadema.

serikali ilitoa millioni 60 huo mradi Pamoja na usambazaji wa mabomba maeneo jirani.
baba faraji kanunua tank mbili na kuchimba kisima kwake na hela anakusanya anakula yeye
 
pesa zilitolewa na serikali ya tz
 
nadhani ungetulia ili ulete taarifa yenye kueleweka kwa mfano:
1. jina la mtaa/kitongoji
2. jina la mwenyekiti wa mtaa/kitongoji
3. maelezo mafupi yahusuyo mradi wa maji
4. ikiwezekana muhtasari wa mkutano wa mtaa/kitongoji ulioamua kisima kichimbwe eneo gani
5. pamoja na taarifa/maelezo yenye vielelezo ili kuthibisha tuhuma dhidi ya mwenyekiti mtajwa hapo juu.
6. taratibu za uendeshaji mradi n.k.
 
Tutajie mtaa mkuu wangu!
Hii ni habari mbaya sana kwa timu ya ufipa.
 
Back
Top Bottom