bilengeh
Senior Member
- Mar 31, 2017
- 135
- 86
Ningependa kuwasilisha hili
Ndugu zangu ni mara nyingi naona wenzangu wengi wakimkosoa mkuu wa nchi humu JF na kwengineko ambalo si vibaya kama unamkosoa kwa utaratibu wa nchi.
Ila wengi wa hao wakosoaji wanakuwa mbogo kwa matusi na kebehi kwa wale wanaowakosoa vipenzi vyao hasa upande wa pili.
Naona wamesahau ya kuwa hao wanaowatukuza nao ni binadamu hawakosi mapungufu.
Tujitahidi kuwa wavumilivu mana wahenga wanasema penzi likipitiliza hua ujinga.