Watu wengi sana wamejiajiri kwenye biashara ya boda boda wapo wamiliki na wapo waendeshaji.
Swali langu linaenda kwa hawa wamiliki wa hizi boda boda na wataalamu wa sheria, swali lipo hivi, umempa...
Nimekuwa nikifuatilia mahubiri ya Manabii lakini kila wakihubiri wanatanguliza pesa ya kutoa sadaka au ujenzi wa Makanisa yao. Mfano pale Mwanza mwezi mmoja uliopita kuna Mhubiri alikuwa na...
Huu msemo umekuwa maarufu sana. Unaelezea jibu safi na mwanana kwa mtu kizabizabina anaependa kuongelea mambo ya watu ila wengi hawaupendi haswa wale wanaooneka wameelimika. Natarajia kuona povu...
Tunajua fika wiki hii kuna uzinduzi wa uienzi wa bomba la mafuta toka uganda mpaka Tanzania huku sehemu kubwa ya bomba hilo iko Tanzania
Tupeane maarifa na tujuzane juu ya fursa za kazi na...
Mijadala imepamba moto mitandaoni kuhusiana na vyeti feki na agizo la kuwafuta kazi maramoja , pressure ni kubwa watu na watu wamechanganyikiwa wakifikiri wataanzaje kurudi kijiweni huku...
Azam News walifika nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo na baba wa mtoto huyo akaiomba serikali imsaidie kwa hali na mali na kuelezea alivyoshangazwa na mashehe kufanya suala hilo
Binti huyo...
Mara zote nimekua nikishuhudia kupitia luninga maandalizi ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi ama marais mbalimbali duniani wakitandikiwa na kupita juu ya zulia jekundu je nani mbunifu wa hayo...
Jeshi la polisi Mkoani Rukwa limekamata maboksi mawili yenye vito vinavyosadikiwa kuwa ni vya thamani pamoja na mchanga mweusi kutoka kwa raia wa nchi ya jirani ya Kongo kwa kisingizio cha kuleta...
Mikakati na utendaji wa Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kuhusu kuboresha mazingira ya utoaji Elimu kwa Mkoa wa Dar es salaam ni muhimu sana kufahamika kupitia vyombo vya habari.
Hongera sana Magic FM...
Uzi huu uwafikie wakuu wa bank ya mwalimu na wafanyakazi wake hasa wanaohusika na mikopo
Hizo fedha mnazikopesha hamgawi bure sasa iweje MTU afuatilie mkopo zaidi ya miezi 2 na mlijipambambanua...
Wasalaam wana jamvi,
Usishangae, ni ukweli kuwa unaekaa nae pengine mkeo, ama ni mmeo, ama jirani yako, ama mfanyakazi mwenzio ama mwanafunzi mwenzio ama muumini mwenzio ni jini.
Kwanini?
Hii...
Wakuu hii dhana ya Tanzania factor au effect kwa nini isitumike hapa bongo ili tuwe tunashinda games zetu?
The Tanzania Effect
Seattle Sportsnet
The Tanzania Effect
I don’t know much about...
Mhegera anatuhumiwa kufanya tukio hilo Julai 23 kwa kumpiga risasi baba mkwe wake, Adrian Mpande kwa hisia kuwa ndiye chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake miaka 10 iliyopita.
Taarifa zaidi...
Toka mradi uanze kazi mwaka na miezi kadhaa Sasa kituo cha mabasi cha Kimara Baruti hakijawai kupandisha Abiria mpaka leo.
Ni lini mtaweka scanner machine za tiketi ili abiria tutumie kusafiri...
Kuna watu 4. tuwaite A, B, C na D. wamefukiwa chini ya ardhi kasoro vichwa vyao tu. wakafunikwa macho kisha wakavishwa kofia ( za rangi nyeupe na wengine rangi nyeusi). A na B wametenganishwa na...
Jambo moja hunishughulisha kidogo kila mara nitumiapo vivuko. Sheria inataka magari yote kushusha abiria ili abaki mvusha gari pekee, yaani dereva. 'Hii ni kwa ajili ya usalama wako' hayo ni...
Habari wadau..
Kwa yoyote mwenye mwongozo toka Wizara ya ujenzi mawasiliano na uchunguzi kuhusiana na kutumia National Datacenter au EGA kwa ajili ya disaster recovery au relocation services...
Wana jf naomba mwenye kujua kifaa kinachotumiwa kupima speed ya magari traffic hutumia jina la kifaa hicho kwa lugha ya kiswahili na yakiingereza naomba kujua tafadhali
Sent using Jamii Forums...
Vibaka Mbelwa na Mandela ni vijana wanaoishi kijiji cha Kondo kuelekea makaburini. Vijana hawa wamebobea kwa wizi wa kila aina, na mahali pao kwa kuvunia ni maeneo ya Tegeta Masaiti na nyumba za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.