Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,097
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe apigia Chapuo Tanzania kuharakisha matumizi ya mbegu za Uhandisi Jeni (GMO) hapa nchini.
Aidha, amepongeza watafiti kubuni mbegu za mahindi ya WEMA ambayo yanahimili ukame, wadudu na yanastawi maeneo mengi nchini....
Ni wakati akifungua maadhimisho ya Sikukuu ya wakulima ya Nanenane kanda ya Mashariki.