Hii kauli kwenye simu;unajua unaongea na nani?inaudhi

samakinchanga

JF-Expert Member
Aug 24, 2014
2,014
1,218
kama na nyie mmekumbana nayo yaani mi sijaipenda kabisa,mtu uko bize unapigiwa simu unapokea halafu unakumbana na swali hilo.wakati huo labda huna namb
a yake
.acheni hizo
 
Back
Top Bottom