GMO ni sumu.....umaskini utaendelea: Halima Mdee

GMO ni sumu.....umaskini utaendelea: Halima Mdee

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,548
Mbunge wa jimbo la kawe Mh Halima Mdee amesema Genetic Modification ni sumu na haina tija kwa wakulima wa Tanzania, zaidi itaongeza umaskini. Mh Mdee ameyasema hayo wakati akichangia muswada wa sheria ya kulinda haki ya ugunduzi wa aina mpya ya mbegu leo hii jioni bungeni mjini Dodoma.
Mh Mdee amesema sheria itakayoundwa kwa kiasi kikubwa haitawatambua wakulima wa hapa nchini kama wazalishaji wa mbegu za asili za mazao mbali mbali. Akitolea mfano zao la pamba, amesema kuwa serikali imeingia mkataba na kampuni ya kigeni kutoka Zimbabwe inayofanya kazi ya kuzalisha mbegu mpya za pamba.

" Kinachofanyika kampuni hiyo hununua mbegu hizo kwa wakulima wetu wa hapa nchini kwa bei ya chini, na kuzifanyia mabadiliko kidogo na kuja kuziuza tena kwa wakulima kwa bei ya juu" alisema Mh Mdee. Kwa kitendo hicho ni kwamba kampuni hiyo inapata hakimiliki kama wazalishaji wa mbegu mpya ilhali zimenunuliwa kwa wakulima wa hapa hapa.

Mh Mdee aliendelea kuihoji serikali kuhusu kuwa na ushirika na kampuni ya MONSATO ambayo inatajwa kuwa imefunguliwa kesi nyingi na baadhi ya nchi kwa utendaji wake mbovu wa kazi. Kampuni ya MONSATO inatajwa kuwa ni mdau namba moja katika kuisadia serikali katika kutekeleza programu ya kilimo kwanza
 
aisee kumbe tumeshaanza kula haya masumu hapa TZ?
 
ukifuatilia sumu za mimea, utashangaa.
Hata hizi mbolea si za kuamini sana.
 
ndio, ni kitu kingine.

Ila nimeongelea hilo kusema kuna hata vingine vilivyo sumu japo hatuambiwi ukweli

GMO ni kitu kingine kabisa
sio sumu ya kawaida ni new technology ya kilimo na biology
 
msijali members, we mwenyewe hapo ni sumu, ndo maana una ini na figo mahususi kwa kuchuja sumu zako, so usiwe na shaka, ukipata msosi tupia tu mwanawane
huku duniani, kila kitu ni kibaya au kinamadhara au side effect, kwahiyo tunachojali ni uchache wa hizo sumu na siyo kutekuwepo kwa sumu
 
Yap Monsato ndio mkuu kwenye hiyo gmo thing na zitatumika sana kuanzi soy beans,rice etc

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Siamini katika genetically modified organisms.
Ni sawa na kutaka ujauzito wa miezi 9 uwe kwa miezi 3!
Haiwezekani; ni kinyume na asili na asilia.

Kama tunataka kuwa na mazao ambayo ni stahimilivu kwa majanga kama ukame na magonjwa n.k. mazao hayo kiasili yapo, kama muhogo, mtama, uwele n.k. Jitihada ziwe katika kutafiti na kufahamu zaidi ni mazao ya aina yapi yataweza kustawi vizuri katika aina ya hali ya hewa na tabia nchi ambayo inategemewa kuwepo, miaka ijayo.

Mimi naamini GMOs ni njia nyingine ya mataifa ya magharibi kujikusanyia kipato - wealth accumulation - kwa njia ya kutengeneza mazao hayo na kuuza kwa nchi kama zetu (zisizo na misimamo) kwa kificho cha mabadiliko ya tabia ya nchi, ustahilimivu wa magonjwa n.k. Transnational and multinational agribusiness companies zinacheza karata zake vizuri sana katika kusukuma hii agenda kwenye nchi kama zetu.

Hizi GMOs nchi nyingi za Ulaya hata hawataki kuzisikia; na tafiti nyingi zimeonesha, GMOs kuwa na hasara nyingi kuliko faida! Na pia nchi zetu zisizo na political will katika kusaidia R&D, GMOs haziweza kutengenezwa hapa; hivyo njia pekee itakuwa ni kununua kwa wenye haki zao kutoka mataifa ya magharibi.

http://www.biomedcentral.com/content/pdf/1756-0500-4-388.pdf
http://steps-centre.org/wpsite/wp-content/uploads/Bt-Cotton-web.pdf
 
Bahati mbaya sana watalamu wetu wa sua wako kimya!! Kwani wengi wao waliishia kukariri shule na kusahau kwamba kuna kutetea utaalamu wao. Wao wakiletewa tu na wakina vangimembe wanaambiwa kubali na wanaanguka dole gumba
 
Jamani hiyo kitu isipitishwe katika bunge na sheria tutazidi kuteketea watanzania tulio masikini.
Tena wakizalisha hayo masumu yao waandike kabisa kuwa ni GENETICALLY MODIFIED halafu tuangalie kama watauza
hata kitu moja!!
 
Kuna species hapa duniani wanaotisha kwa ku survive and ku perpetuate kwenye sumu ya kutisha... swala la ku shout out hapo bungeni kuhusu sumu si issue ... My lovely Halima .. AND as usual we will soon get used to it ..This is bongo!! Hizo kelele hapo bungeni hazina potential energy ya kubadilisha chochote, zaidi ni kuwa sisi ni wagumu ..we will soon adapt to it!!!
 
Mbunge wa jimbo la kawe Mh Halima Mdee amesema Genetic Modification ni sumu na haina tija kwa wakulima wa Tanzania, zaidi itaongeza umaskini. Mh Mdee ameyasema hayo wakati akichangia muswada wa sheria ya kulinda haki ya ugunduzi wa aina mpya ya mbegu leo hii jioni bungeni mjini Dodoma.
Mh Mdee amesema sheria itakayoundwa kwa kiasi kikubwa haitawatambua wakulima wa hapa nchini kama wazalishaji wa mbegu za asili za mazao mbali mbali. Akitolea mfano zao la pamba, amesema kuwa serikali imeingia mkataba na kampuni ya kigeni kutoka Zimbabwe inayofanya kazi ya kuzalisha mbegu mpya za pamba.

" Kinachofanyika kampuni hiyo hununua mbegu hizo kwa wakulima wetu wa hapa nchini kwa bei ya chini, na kuzifanyia mabadiliko kidogo na kuja kuziuza tena kwa wakulima kwa bei ya juu" alisema Mh Mdee. Kwa kitendo hicho ni kwamba kampuni hiyo inapata hakimiliki kama wazalishaji wa mbegu mpya ilhali zimenunuliwa kwa wakulima wa hapa hapa.

Mh Mdee aliendelea kuihoji serikali kuhusu kuwa na ushirika na kampuni ya MONSATO ambayo inatajwa kuwa imefunguliwa kesi nyingi na baadhi ya nchi kwa utendaji wake mbovu wa kazi. Kampuni ya MONSATO inatajwa kuwa ni mdau namba moja katika kuisadia serikali katika kutekeleza programu ya kilimo kwanza

Na kama hazina faida kwao kwanini wanunuwe kwa bei ya juu?
 
559374_465984710093741_1572100421_n.jpg


Would you rather not venture and explore the rest? Life is too short.

​
 
Genetically-modified foods (GM foods) have made a big splash in the news lately. European environmental organizations and public interest groups have been actively protesting against GM foods for months,and recent controversial studies about the effects of genetically-modified corn pollen on monarch butterfly caterpillars[SUP]1, 2[/SUP] have brought the issue of genetic engineering to the forefront of the public consciousness in the U.S. In response to the upswelling of public concern, the U.S. Food and Drug Administration (FDA) held three open meetings in Chicago, Washington, D.C., and Oakland, California to solicit public opinions and begin the process of establishing a new regulatory procedure for government approval of GM foods[SUP]3[/SUP]. I attended the FDA meeting held in November 1999 in Washington, D.C., and here I will attempt to summarize the issues involved and explain the U.S. government's present role in regulating GM food.

What are genetically-modified foods?The term GM foods or GMOs (genetically-modified organisms) is most commonly used to refer to crop plants created for human or animal consumption using the latest molecular biology techniques. These plants have been modified in the laboratory to enhance desired traits such as increased resistance to herbicides or improved nutritional content.

The enhancement of desired traits has traditionally been undertaken through breeding, but conventional plant breeding methods can be very time consuming and are often not very accurate. Genetic engineering, on the other hand, can create plants with the exact desired trait very rapidly and with great accuracy. For example, plant geneticists can isolate a gene responsible for drought tolerance and insert that gene into a different plant. The new genetically-modified plant will gain drought tolerance as well. Not only can genes be transferred from one plant to another, but genes from non-plant organisms also can be used. The best known example of this is the use of B.t. genes in corn and other crops. B.t., or Bacillus thuringiensis, is a naturally occurring bacterium that produces crystal proteins that are lethal to insect larvae. B.t. crystal protein genes have been transferred into corn, enabling the corn to produce its own pesticides against insects such as the European corn borer.


more GMO info: California's GMO food-label ballot bill could have nationwide impact | MailTribune.com
 
Back
Top Bottom