Maeneo ya makaburi yamefurika...

Maeneo ya makaburi yamefurika...

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,357
Reaction score
38,711
Zoezi la uzikaji limeendelea kuwa gumu hivi sasa baada ya baadhi ya sehemu zilizoaminiwa kuzikia watu kujaa. Dar imejaa, ndivyo wanavyosema wananchi wa Dar

Kiukweli hata ukienda Kinondoni leo hii wanazika mtu juu ya mtu. Inasikitisha sana. Uongozi wa mkoa wa Dar es salaam ukubali hali halisi wanunue sehemu za kuzikia na tusitegemee Kinondoni tu.
 
Nilikuwa Kinondoni hivi karibuni kwa ajili ya MAZISHI ya rafiki yangu Seth hakika hali sio nzuri...hakuna nafasi kabisa hata sehem walipomzika huyu rafiki yangu ni finyu mno...Serikali inabidi ifanye uamuzi wa Busara kutenga maeneo mengine kwa ajili ya shughuli hii nyeti kwetu sisi binadamu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani

Ukwelihalisi wamemwondoa MTU hapo..hali n mbayaa..mkuu Seth yupi yule wavchekesho
 
Akiri za kutenga maeneo ya kuzikia walikuwa nayo utawala wa Nyerere tu sio hawa wanakula mpaka rambirambi bila kukemewa
Napitaa tuu wananchi waanze kuuza viwanja vyakuzikiaa
 
Hahahaha! we Mshana utasababisha watu wakimbie jiji.. kufa ufe, na kuchomwa tena? watz na kuchomwa moto wapi na wapi? UTACKIA"NGOJA NIKAUGULIE KIJIJINI" KUMBE WOGA WA KUCHOMWA MOTO
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unamfuata huko huko unamwambia aroo makazi yako ni dar kama hari mbaya twende ukamarizikie huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha! we Mshana utasababisha watu wakimbie jiji.. kufa ufe, na kuchomwa tena? watz na kuchomwa moto wapi na wapi? UTACKIA"NGOJA NIKAUGULIE KIJIJINI" KUMBE WOGA WA KUCHOMWA MOTO
sasa umeshakufa unaogopaje moto

Do Something 2day That Your Future Will Thank You 4
 
Hapo kinondoni panafaa kujengwa Apartments na Shopping Malls. Hiyo mifupa iliyopo Hapo ikusanywe ikatengenezee chakula cha kuku
Wazo zuri sana mkuu

Hata Mimi huwa nafikilia hivyo

Makaburi ya kinondoni yameshikilia eneo kubwa ambalo lingefanyiwa masuala ya msingi

Wajenge trade center ya kibabe or ma malls or flats za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania Bado kubwa sana. Nadhani Mkuranga, Kibiti na Rufiji kufanywe mazikio.
 
Hapo kinondoni panafaa kujengwa Apartments na Shopping Malls. Hiyo mifupa iliyopo Hapo ikusanywe ikatengenezee chakula cha kuku
kwani ukijenga malls kibiti kunashida gani
 
Lifespan ya kaburi haizidi miaka 20 lakini ni vema sasa tukafikiria kuingia kwenye mfumo wa cremation (kuchoma moto) kwa mfumo huu makaburi ya kino yanaweza kuzika zaidi ya watu million tano

Sent using Jamii Forums mobile app

Vizazi vijavyo vitakosa mafuta (crude oil) ambayo inatokana na kuoza kwa viumbe hai (decomposition of organic matter) ambayo huzalisha mafuta ghafi (hydrocarbons) baada ya miaka mingi. Sasa wakichomwa huo mfumo wa kiikolojia na kikemia utaharibika.
 
Ingekuwa hivyo bara la Asia lisingekuwa na reserve kubwa ya mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom