Kimichezo inakubalika lakini kisiasa hii imekaaje? Tulishindwa kweli kuishia sare ya 1 - 1 hadi Zenji watake sifa kwa kufunga goli lingine!! Huu ni uzalendo au tuiteje, nauliza tu mwanawane!
Hi great thinkers Leo nimajikuta nasikitika kimoyo moyo baada ya kuona watoto watatu wanahangaishwa na mama yao.
Baada ya kuachana na mumewe akawachukua watoto akaenda nao Dar kutoka...
....NAWAOMBA Mwambieni rais magufuli juhudi zake nazisikia
"Mungu azidi kumpa maarifa zaidi azidi kuliongoza vyema jahazi la watanzania..
RAIS HUYU NIMEPENDA HEKIMA ZAKE..
NAMI...NAMFANANISHA...
Habari za jpili JF
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari hali hii ya umasikini katika mataifa mengi ulimwenguni ikiwemo Tanzania.
Huku kukiwa na takwimu zinazoonyesha kuwa dunia ina resources za...
Wandugu hebu nisaidieni nikiorder bidhaa amazon kama Ipad na nikitoa hela zangu kweli itakuja hapa bongo, je hawa jamaa ni waaminifu. Kwa yeyote ambaye ametumia huduma hii ninaomba msaada plz...
Kutokana na kazi ya ubomoaji wa jengo la Ofisi za TANESCO makao makuu yaliyopo Ubungo jijini Dar es salaam linaloendelea, Shirika hilo la umeme linawataarifu wananchi kwamba, huduma ya kununua...
Kama kuna ukweli kwa jinsi kila mtu afikiriavyo likilotokea kwa familia hii na kwa upande uliohusishwa au kutendewa kwa vyovyote,na kwa alilolitekeleza Mh.Raisi wa Jamhuri yetu adhimu ya...
Wanabodi,
Awali ya yote naomba kutoa shukurani za dhati kwa Mh Rais kwa msamaha kwa ndugu na jamaa zetu wote ingawa najua future yao ipo mashakani sana.
Ila naombeni kujuzwa huyu Mzee Matonya...
Binafsi sijawai kutumia au kumiliki iPhone, ila napenda COMPAS DIRECTION na ile huduma ya GUIDE ACCESS yan kma mtu ameomba cm apige sim bas hatoki apo hadi pini,
Wajuzi karibuni
Muda umefika kukubali kushikiwa akili na kuacha kufanya Yale tunayoamini
Tufanye kazi kama wanaotuongoza watavyo
Kila kona vijana vijana hii ni kweli
kama ni kweli uzalendo kwanza ni nini...
Kwako Rais Magufuli.
Nakushukuru kwa kuwaachia huru Babu Seya naPapii. Najua ukweli unaujua ndio maana ulifikia huu uamuz.
Hi kesi iliendeshwa kimaghumashi Sana Na kukomoana. Yani mwalimu...
Wakuu
Taarifa za hivi punde zinasema kuwa gari la kampuni ya vinywaji TBL likiwa katika safari zake limepata ajali maeneo ya Tabata Jijini Dar es salaam.
Hakuna taarifa zozote za wahanga wa...
Wanasiasa kuweni na akiba ya maneno.Kumbukeni Kamanda Lowassa amewatangulia kuijua Siasa, Katiba ya nchi anaijua, Ikulu amekaa kwani Waziri Mkuu Ana ofisi pale hakukurupuka kusema atamwachia Babu...
Wakuu hawa watu ni janga mno unaweza kutuma pesa kwa bahati mbaya ukawa umeikosea na ukawahi kuwapigia simu kisha wanakujibu tumeuzuia sasa usubir masaa 24 unaweza kusubir hayo masaa 24 na bado...
Siku chache baada ya Raisi Magufuli kutangaza kubomolewa kwa jengo la Tanesco kuna sms ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa watu wajiandae, wanunue umeme mapema maana siku yoyote yawezekana...
TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI.
_______________
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana Agosti 29 kimezindua kampeni zake katika viwanja vya Jangwani...
Ni vema tukafahamu kwamba katika maisha rafiki anaweza kuja kuwa adui au msaliti kwenye mambo mengi sana yakiwemo mambo ya kwenye mapenzi, biashara, kupata nafasi kazini, mahusiano na marafiki...
Kumekuwa na tuhuma nyingi sana kwamba kuna Wanyarwanda wapo nchini wanafanya kazi kwenye taasisi za umma vikiwemo vyombo vya usalama, huku lengo lao likiwa ni kuiba taarifa na kupeleka walipo...
Habari zenu wakuu.
Mi ni miongoni mwa wateja ambao wanatumia sim bank.
Sasa sehemu ambayo naomba nisaidiwe ni hapa.
Ikiwa mwanzo ulikua unatumia line ya tigo ghafla sehemu uliyokwenda ikawa haina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.